Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Me pia nimetuma japo kigezo cha umri kimeniacha.....ila namuomba mungu na kuendelea kutafuta mbanga kama nitapata
 
PT inameremeta sana kipindi hiki mtaoenda huko hongereni sana tambueni kuna wenzenu tulitamani tupate nafasi hizo lakini haikuwa bahati kwetu,nendeni mkasimamie sana nidhamu yenu maana ndiyo msingi wa PT,miezi 9 siyo mingi kama una tafakuri ya mbali hayo ni maisha.
Msidanganyike kwa lolote maana nimesikia mtakutana na wakongwe chomboni (kozi ya uongozi mdogo koplo) nao watakuwa Moshi) pambaneni sana.
Hakuna kozi rahisi kozi ni kozi tu ila fungueni moyo.
Ajira za majeshi zinalipa sana.
Ni mwaka mmoja kwa utaratibu mpya wa sasa kwa recruit course
 
Life linazidi kuwa gumu, umri unaenda, ajira za majeshi zinanipita, mibanga nayo naikosa.....daaaah😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Mkuu kama upo na 26 yrs usikate Tamaa c utatumia cheti cha degree mpka miak 30 au vip sema MT ndo wamespecify
Life linazidi kuwa gumu, umri unaenda, ajira za majeshi zinanipita, mibanga nayo naikosa.....daaaah😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
K
 
Back
Top Bottom