mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
hahaaa nimechomolewa mkuuBaba kantuma mstari wa kwanza wa UHAMIAJI unasema "Hatopata mtu Bila connection"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaa nimechomolewa mkuuBaba kantuma mstari wa kwanza wa UHAMIAJI unasema "Hatopata mtu Bila connection"
international hzna kujuaana ila zina bureaucracy nyingi hsa upande wa wadhamini na documets zako, kwa dar nenda hzi mbili Gardaworld-mikocheni kwa mwinyi near palm village mall, au uende G4s ubalozi wa ufaransaMaafande kwa yyte mwenye connection kwenye hizi Kampuni za Ulinzi anipm aisee nipo Morogoro nimepigwa Ndoinge nyingine.[emoji24]
Shukran bro.international hzna kujuaana ila zina bureaucracy nyingi hsa upande wa wadhamini na documets zako, kwa dar nenda hzi mbili Gardaworld-mikocheni kwa mwinyi near palm village mall, au uende G4s ubalozi wa ufaransa
pamoja mkuuShukran bro.
Huyu kijana ana maelekezo mazito haswaHuyo bakabaka inamuhusu
nimekosa mkuuMfwende yupo kimya sana .Tunaomba mrejesho wake pia,kama mwakilishi wetu wa Jf uzi huu
Daaah ..hii Bongo Asee 🤨nimekosa mkuu
UT imekuw changamoto sana kuingia. Degree holders kwenye haya majeshi inatakiwa kupambana kweli kuingiaSasa vijana sijui tukafanye kazi gani Asee ..kila kipengele kinakua kizito
DAAAAHmbanga yangu imekodoa macho balaa bdo haiamini, coz imedai mpaka dakika ya 95 ilikua inaongoza mechi, nimechomolewa jina mwishoni. wazee nikishindwa kutoboa wizara itabidi nirudi manyoni kulima
Usijali mkuu...PT bado tuwe na subiraSiku imekua ndefu sana. Inauma kwa kweli.
Baadhi ya mikoa wamepimwa urefu,na kuhakiki vyeti BasiWale MT usaili vip uko napo maafande au Ndoige iendelee.
Huko ndo sipo kabisaaUsijali mkuu...PT bado tuwe na subira