Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Naanza kuwaelewa wale wanaosema kwamba jeshini wengi wanaoleta ujuaji na umwamba ni hawa askari wa vyeo vya chini na ndio hawa wanaoonea raia huko mitaani na kuwapa adhabu za kijinga, ni ngumu kukuta mwanajeshi mwenye nyota analeta ujuaji na umwamba au kupotosha raia kuhusu haya mambo, humu kuna maofficer wa jeshi kibao tunawafahamu ila hatujawahi kuwaona kwenye huu uzi wakibishana shida iko kwa hawa wazee wa mbavu na shati tupu japo ni baadhi siyo wote
Mdg angu nimepita makutupora mujibu mwaka 2015 nikaenda chuo nikamaliza 2018 Nikaingia jeshini Tena 2019 Op makao huko nikapiganisha bogi chamwino ndio liloonitoa so unaposema nitaishia coplo ucdhani me 4m 4 dg
 
Ni iko hivyo... Asilimia kubwa wana makasiriko yasiyo na faida... Kwasisi ambao Bado hatujaingia ukimfata akupe ushauri aaaaaaaah umekufa... Especially ukiwa wa mujibu...utaambiwa ulienda jeshi au ulienda seminar...
 
By natural sense ni kwamba huwez kumkuta mtu mweny cheo kikubwa akipumbaza watu au kufany manyanyaso kwa raia kwasababu Elimu aliyopata haimruhusu kufany hvyo Iv unajua Ufinyu wa Elimu ndo Kichochezi kikubwa cha ushamba km huo..quote that "Maskini akipata makato hulia mbwata" inamana hiko kidg tu anajiona kashamaliza..Stupidity
 
Ni iko hivyo... Asilimia kubwa wana makasiriko yasiyo na faida... Kwasisi ambao Bado hatujaingia ukimfata akupe ushauri aaaaaaaah umekufa... Especially ukiwa wa mujibu...utaambiwa ulienda jeshi au ulienda seminar...
Mtu yyte atakaye kukashfu hivyo muulize kabla ya kupewa Force a Second Force number..akutajie alikuw anaitwa nan aKitaja "SM" katika majina yake basi na wew mjibu kuw naye ni Mwana Seminar..Done📌
 
Sasa kwani ni wapi nimesema wanaoishia ucorporal wote ni form four, ndio maana nakuambia usikariri wapo watu na degree zao na wameishia kuwa maaskari, pambana uingie huko TMA kijana usipojiangalia utaishia hata huo uprivate na hiyo degree yako [emoji16][emoji16]
Si umeona sas alivyo na akili ndogo et Ucoprol ni walio ishia Form 4 tu Akat wapo wa Form 4 sahv wana One star na wapo wa degree still bado ni Private..Huyo sio Askari nna uhakika na km ni Askari bas Andazi Trust me📌
 
Si umeona sas alivyo na akili ndogo et Ucoprol ni walio ishia Form 4 tu Akat wapo wa Form 4 sahv wana One star na wapo wa degree still bado ni Private..Huyo sio Askari nna uhakika na km ni Askari bas Andazi Trust me[emoji419]

Zee la kazi hujajibu sms yangu, ni uhakika Kuwa 14/15 wanatoa Pdf Mzee
 
Ivi anajua kwann baada ya course kn Six years contract then After ndo kn Two years then Two Again Before a Divina Order kwa Mkunda...kama anajua kwann Aje aniujibu hapa km hajui a Reason Why! Basi 100% He s not a Solder n If he is...bas ni not In Higher position wala He is not Expected to get there till retirement📌
 
Zee la kazi hujajibu sms yangu, ni uhakika Kuwa 14/15 wanatoa Pdf Mzee
Yeah 99.99% Im sure..kama ile request ya kuongezewa majina ilikubaliwa na ishafanyiwa kaz mana since before PDF ilikuw tayari ila walikuw wanasubir vijana kn wengne ambao wali apply kutokea ktk makambi hvyo process yao ya kuchukua vyeti vya kijeshi ilichelewesha zoez madhalan mtu akiripot CCP inatakiw afike pale na vyeti vyake vyote
 
Mana hapo katikat kn baadh ya watu hususan walio ombea Fani & stashahada na shahada kwny Vyeti vyao kulikuw na changamot nadhan walishapigiw cm kabla ya tare 1 wapeleke nida offices na Rita then majina na vyeti vikifanyiw kaz virud..jana nliongea na Ndugu yang mmoj yupo Office ya RPC kaloleni alisema Tayari yalirud majina ko nahis wiki hii walikuw wanayachakata nayo yaingie
 
Sasa kwani ni wapi nimesema wanaoishia ucorporal wote ni form four, ndio maana nakuambia usikariri wapo watu na degree zao na wameishia kuwa maaskari, pambana uingie huko TMA kijana usipojiangalia utaishia hata huo uprivate na hiyo degree yako [emoji16][emoji16]
Sasa ww raia unataka unifundishe kuhusu jeshi nd kisa ulishawahi pita mujibu nd nlikua nakuambia watu tumepita hiyo mujibu yako na zaid yake usichukulie poa dg
 
Mdg angu nimepita makutupora mujibu mwaka 2015 nikaenda chuo nikamaliza 2018 Nikaingia jeshini Tena 2019 Op makao huko nikapiganisha bogi chamwino ndio liloonitoa so unaposema nitaishia coplo ucdhani me 4m 4 dg
Alafu usipende kuwaita watu wadg zako akat hamjachangia Baba..hii ni forum hujui mtu humu...Kwa Ushauri tu Unaweza ukauchukua au kupuuzia Im out 📌
 
Sijafanikiwa kusoma vigezo wanavyotaka. Naomba kujua je ile sifa ya kufeli imewekwa au hawajaiandika
 
Sasa ww raia unataka unifundishe kuhusu jeshi nd kisa ulishawahi pita mujibu nd nlikua nakuambia watu tumepita hiyo mujibu yako na zaid yake usichukulie poa dg
Wew Mwanajeshi wa Kambi gan? Em Tufahamiane Tafadhari naona unajiachia tu kujitambulisha ovyo ovyo..wakat juz wew ndo ulini Underrate na kunambia Wanajeshi hatujitambulish kirahisi hivyo baad ya kukwmbia nipo hpa ninty two sanga sanga WTF
 
Si umeona sas alivyo na akili ndogo et Ucoprol ni walio ishia Form 4 tu Akat wapo wa Form 4 sahv wana One star na wapo wa degree still bado ni Private..Huyo sio Askari nna uhakika na km ni Askari bas Andazi Trust me📌
Hv 4m 4 kuwa na nyota mkuu imekaaje utaratibu wake au kuna mpangilio gani maana naonaga wengi wenye elimu za chini ni vyeo vya chini mkuu
 
Si umeona sas alivyo na akili ndogo et Ucoprol ni walio ishia Form 4 tu Akat wapo wa Form 4 sahv wana One star na wapo wa degree still bado ni Private..Huyo sio Askari nna uhakika na km ni Askari bas Andazi Trust me[emoji419]
Form 4 cheo chake akikomaa mpk mwisho ataishia Wo1 hafiki 1 star labda akajiendeleze ndio maana nawaambia nyie vitoto hamjui kitu
 
Back
Top Bottom