mudryk
Senior Member
- Jan 21, 2023
- 174
- 224
Mdg angu nimepita makutupora mujibu mwaka 2015 nikaenda chuo nikamaliza 2018 Nikaingia jeshini Tena 2019 Op makao huko nikapiganisha bogi chamwino ndio liloonitoa so unaposema nitaishia coplo ucdhani me 4m 4 dgNaanza kuwaelewa wale wanaosema kwamba jeshini wengi wanaoleta ujuaji na umwamba ni hawa askari wa vyeo vya chini na ndio hawa wanaoonea raia huko mitaani na kuwapa adhabu za kijinga, ni ngumu kukuta mwanajeshi mwenye nyota analeta ujuaji na umwamba au kupotosha raia kuhusu haya mambo, humu kuna maofficer wa jeshi kibao tunawafahamu ila hatujawahi kuwaona kwenye huu uzi wakibishana shida iko kwa hawa wazee wa mbavu na shati tupu japo ni baadhi siyo wote