Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mdg angu nimepita makutupora mujibu mwaka 2015 nikaenda chuo nikamaliza 2018 Nikaingia jeshini Tena 2019 Op makao huko nikapiganisha bogi chamwino ndio liloonitoa so unaposema nitaishia coplo ucdhani me 4m 4 dg
Safi kaka...
 
[emoji16]nimetoa boko lipi sas ndugu yang mbona mapovuu mengi..
Hapo unaposema wanenda kuchukua nyota labda useme wamejiendeleza maana kuna watu wanafika Hadi staff sergeant na wanaenda Tma baada ya kujiendeleza tofaut na hapo labda uwe kua Mr Rsm hapo ndio mwisho kwa 4m 4
 
Hapana ila kn sehem nilisoma nkakuta mara utafia na Ucoprol mara bib na bwana..sas kwan Bib na bwana sio cheo? Km sio mbn Major ana kibeba
Ofcourse hujanielewa na ndo tafsiri general kitaa kwa sie layman ukisema ngao kuna mtu haelewi ngao ni nini mkuu. So ni hivyo tunaelewa mojor ni Senior officer na WII vile vile ni mtu wa nidhamu hakuna siri na isitoshe vijana wetu na sie babu zao tulipita pita migambo na vyeo vya ruteni koplo yaani "V" moja so idea ipo
 
Hapo unaposema wanenda kuchukua nyota labda useme wamejiendeleza maana kuna watu wanafika Hadi staff sergeant na wanaenda Tma baada ya kujiendeleza tofaut na hapo labda uwe promoted kua Mr Rsm hapo ndio mwisho kwa 4m 4
 
Mwanzo wakati mnabishana nilikuwa nakereka.... Ila sasa nacheka tuu!!!

Naona wote mnajimwambafy tuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo unaposema wanenda kuchukua nyota labda useme wamejiendeleza maana kuna watu wanafika Hadi staff sergeant na wanaenda Tma baada ya kujiendeleza tofaut na hapo labda uwe kua Mr Rsm hapo ndio mwisho kwa 4m 4
Eeeeeh sawa sawa yan nafas zile zkitoka mtu km yupo kazn anawez kuzchukua akaend kujiendeleza kwa course ya A year and some na akirud anakula star
 
Huku sio kuchangamsha uzi...huku ni kutaka kila mtu ajulikane ni nan ... issue ilikuwa ya kujadili siku moja tu .lkn tunaelekea siku ya pili...
 
Hapa tunajaribu kuchangamsha uzi kwa kuwaelimisha ma dg hata wakienda huko kwny usaili wasiende kutoa boko at least wajue hata ABC vitu vidg vidg ka hivi
Nimekaa natazama unacho andika wee jamaa daaah!! Sizani kama kuna mtu anaweza kuamini wew upo kwenye kitengo mana hubishana kwa fact

Yani adi sisi mujibu tunakushinda duuh!!

Miii naomba uache kubishana chamsingi saiv ongea mada zingine ambazo zitakua sapoti kwa kila mtu umu ndani
 
Kwani bro me nipo Hapa kuaminisha watu
 
Kwani bro me nipo Hapa kuaminisha watu
Amna wee jieshimu pia nenda na mada ambayo kila mtu ataichangia kwa faida sio kwa mabashano ambayo hayana faida yoyote pia kingine

Kama kweli wew upo kwenye kitengo basi inabidi ufate kanuni zako za kazi ivi

Unahisi umu ndani upo mwenyewe private au

Wapi wengi sana umu ndani ila wanajua nini maana ya kazi yao saa wew unabishana vitu ambavyo havina faida yoyote

Mii nakuomba wee kausha tuuh kama yeye anaona yupo sawa basi muache abaki na ukweli wake na wew ubaki na ukweli wako
 
We umeona wapi me nasema hivo haya mabishano yalianzia mbali me sijakaa Hapa kusema me private hapana katika issue ya kuwaelesha hawa ma dg ndio wame notice hivo alafu sio mm tu nnaendeleza hio mada isipokua me nawajibu wanao no quote sawa alafu tupo wengi tunaojibizana kwann unakomaa na mm
 
Mimi ningekuwa nina mpango wa kuwa mwanajeshi ningeshakuwa kitambo tena sasa hivi ningekuwa captain, maana chance nilikuwa nayo tangu naingia jkt kwa mujibu wa sheria ila sikuhitaji, wewe na vilaza wenzio ndio mlikuwa mnaiota kihangaiko

Ndio maana umesota kote huko mara mujibu mara chuo mara urudi tena kujitolea sababu hukuwa na connection

Wale wenzio wenye connection wala hawasoti miaka yote hiyo
Ww jamaa unaejiita chui wa kijani unaniandama mm dharau ka hizi inamaana huzioni unatakaje labda nikae kimya tu
 
Mimi ningekuwa nina mpango wa kuwa mwanajeshi ningeshakuwa kitambo tena sasa hivi ningekuwa captain, maana chance nilikuwa nayo tangu naingia jkt kwa mujibu wa sheria ila sikuhitaji, wewe na vilaza wenzio ndio mlikuwa mnaiota kihangaiko

Ndio maana umesota kote huko mara mujibu mara chuo mara urudi tena kujitolea sababu hukuwa na connection

Wale wenzio wenye connection wala hawasoti miaka yote hiyo
Daaah! Mungu ni mwema siku zotee mi bado naiota kihangaiko kusema kweli
 
Hahaha kijana hajui pengine anaweza kuwa anabishana na baba zake humu anafikiri kila mtu kwenye huu uzi ni mtoto mwenzie aliyekuja kutafuta hizo ajira za majeshi tu
Sa si ndo hapo ndomana nmempa ushauri wa bure hauhitaj kulipia
 
Back
Top Bottom