Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww inaonesha umepata Hapa unawachora wenzio maana sio kwa vicheko hiviHaya kunywen maji mengi mmbaki mtaani subirini intake nyingine all the best wana[emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upendo anatucheka sio[emoji16]Ww inaonesha umepata Hapa unawachora wenzio maana sio kwa vicheko hivi
Huyu inaonesha ya kwake tayar yamemnyookeaUpendo anatucheka sio[emoji16]
Ninge pata nisingekua hapa Saa ivi ningekuwa Na andaa mizigoWw inaonesha umepata Hapa unawachora wenzio maana sio kwa vicheko hivi
Watu wanaugulia maumivu tu.Uzi utapoa sasa hivi
Hongera sana mkuuPongezi kwa mwanangu wa ikuru kaupiga mwingi sina cha kumlipa
Ngoja sasa nimgande pia amuingize mdogo wake na mzazi mwenzangu JW
[emoji23] [emoji23]Polisi wenyewe njaa kama sisi tu ,, wanatukopa sana pesa za fegi na bia mtaani[emoji2][emoji2]
Tukomae mtaani wakuu.