TPDF_23
Member
- Jul 27, 2022
- 50
- 83
Mwezi wa nane kinaumana vijana tafuteni connection muda bado unaruhusu leo nikiwa kwenye daladala naenda kariakoo kuna mama mmoja alikuwa anakngea na mtoto wake kweny simu anamwambia aanze kujiandaa yeye jina lake tayari lipo kwahyo wakitangaza kuita usahil yeye anaondoka moja kwa moja DODOMA haendi kwenye usahili....akàwa anamwambia jiandae anza kununua vifaa vya kule nyoa hcho kiduku chako muda wowote unaondoka.......
Daaaaah nimekaa kwenye daladala roho imeniuma kweli yaan wengine tayar wanauhakika hata usahili hawapiti inaitwa moja kwa moja hio sema tuzidi kutafuta mibuyu tu ila kuingia hivi hivi ni ngumu sana wanangu....ila sir god atabless kama ipo ipo tuu haijalishi wewe umepitia njia yenye milima na mabonde mito na jangwa....wengine wamepita barabara iliyonyoka ila wote tutafika tu jambo kubwa ni kumuomba MUNGU tu na Mungu huwa anajibu kwa wakati wake cha muhimu tusikate tamaaa tu....