Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

KIpindi cha nyuma walikua wanafanya vetting ..yani wao ndio wanakutafta
Walikua wanawatafuta watu mashuleni sekondari,vyuoni,sehemu za ibada ,makazini na sehemu mbalimbali
ila siku hizi mambo yamebadilika....
Hivi tiss mfumo wao wa kuajiri upoje?
 
Back
Top Bottom