Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Military science ni degree zinazohusu masuala ya kijeshi,Kuna ambao degree yao ya military science inawataka wasome 3 years,wengine 4 years,Wengine 5 years.It depends degree yako ya military imebase facult gani.Sio kila officer cardet amesoma military science.Ndomana siku ya kuapishwa wote wataapa na kuvalishana nyota den wale waliosoma military science watarudi tena uwanjani kutunukiwa hizo degree za military science.So kwa uelewa wangu nahisi Military science watakuwa wanapiga kozi ya officer cardet den wanaendelea na masomo yao ya Degree za military,I stand to be corrected.
Nitarudi na jibu la uhakika nikijibiwa na niliowauliza.
 
Military science wameanza kuripoti makutupora tayari ni confirmed den soon watakuja kuita wale walioomba mwezi wa tatu wakujitolea.

Military science wameanza kuripoti makutupora tayari ni confirmed den soon watakuja kuita wale walioomba mwezi wa tatu wakujitolea.
Aise lonja zitatuua changanya ndoige za pt.....hao jw wengine wanasema wanakuja mwakanani
 
Back
Top Bottom