Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Attachments

  • IMG-20231101-WA0006.jpg
    IMG-20231101-WA0006.jpg
    46.8 KB · Views: 25
Wakuu nimejitupia zangu SGA security.napambana na life na kuitetea familia yangu dhidi ya shida/umaskini.

Ajira za serikalini ni kizungumkuti sana nimepambana sana lkn kukaa na kutegemea issue usiyo na uhakika ni kiza cha fikra

Karibuni kwenye ajira za ulinzi wazi maafande
 
Back
Top Bottom