Nafasi za kazi kutoka kampuni ya QTS-QUICK TRACK SOLUTIONS LIMITED (Fumigation)

projectman

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
350
Reaction score
486
Nafasi za kazi kotuka kampuni ya quick track solutions limited katika Nafasi zifuatazo.

1. Fumigation

2. Marketing

3. Project Leader

SIFA ZA MUOMBAJI
1. Lazima awe amesomea au anao ujuzi unaohusiana na fumigation and pest control
2. Umri usiopungua miaka 21
3. mkazi wa Dar es salaam
4. Mwenye akili timamu na mchapa kazi
5. Experience angalau mwaka mmoja

Tuma CV Email: qtsltd2025@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…