Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Mshahara wa 179,000/=,Kwa Maisha ya sasa ni Mdogo sana,huu ni unyonyaji.Sasa huyu atawezaje kumudu gharama za Maisha?.Njoo Iringa kwenye machai. Tunza tiketi YA BASI nauli unarudishiwa ukifika.
1.nyumba bure
2.maji ya uhakika
Vigezo
1. Miaka 18+
2. Uwe na NIDA namba au cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura au namba ya NSSF AU leseni ya udereva
Kazi ni kuchuma kipato ni kutokana na juhudi ya uvunaji lakni kuna kazi zingine za utunzaji wa mashamba ambazo ni sh 7,000/= kwa siku. Kazi ni saa moja kamili hadi saa nane mchana.
Kima cha chini cha mshahara ni 179,000/= kwa mwezi ila ukizidisha juhudi basi utapata zaidi ya hapo. Mimi mwenyewe ni shahidi maana nipo humuhumu shambani.
Hakuna rushwa yoyote na kazi uhakika.
Kampuni inaitwa Lipton teas and Infusion zamani Unilever.
Pm me na karibu sana.
Wanahitajika wafanyakazi kwa idadi yoyote hata mkiwa 20 nauli mnarudishiwa.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app