Nafasi za Kazi: Vijana 30 wa kubandika Poster DSM

Nafasi za Kazi: Vijana 30 wa kubandika Poster DSM

Wakuu kwema?

Ninahtaji vijana 30 wa kusaidiana nao kubandika poster maeneo mbalimbali ya dar. Majukumu ya kazi ni kubandika poster katika maduka yanayotoa huduma za kifedha na maduka yanayouza vocha. Poster ni za mitandao ya simu

Vijana wote wataingia kazini kuanzia saa 4 mpaka pale watakapomaliza poster zao au kushindwa kazi. Na huduma ya malipo itafanyika kwa kupewa nauli zao jioni watakapotaka kuondoka makwao ya shilingi elfu 3. Na malipo ya pili ni malipo kutokana na poster zao. Poster moja inabandikwa kwa kias cha shilingi 150.

Kila kijana atapewa poster 100, akimaliza zote ni 150×100= 15,000 na akifikisha 80×150, akifikisha 50×150 na wote hao watalipwa. Kila poster iliyobandikwa itapigwa picha kama ushahid kua haijatupwa na itatumwa kwa njia ya wasap kukaguliwa kuondoa duplications.

Vijana 30, mwenye akili timamu na kipaumbele watapewa wanaume, wenye simu kubwa na waliozidi miaka 23. Kazi sio ngumu ila ni ngumu na mm kama kiongozi nitasaidiana nao huko mitaani kubandika

Mawasiliano : 0628731833 ,piga ili upate usajili wako leo
Au fika ofisi za tigo Kesho kabla ya saa 3
Tundu Lisu afungue ile kesi mapema ili Tigo ikamuliwe fedha za kutosha. Yani pamoja na wizi wa vifurushi bado mnaenda kuwaibia vijana maskini wa nchi hii, tena mchana kweupe!
 
Wachafuzi wa mazingira
Wanataka kurudisha jiji katika zama hizi
1000017284.png
 
Kaka nafasi Bado zipo au zimekwisha
Nicheki mkuu, zikiisha nitasema hapa. Nashangaa watu wanatafutaga kazi yoyote humu leo hawatokei kabisa yani. Mnicheki vijana, siwezi kuwa na fursa niwanyime wazee. Anaejua ataweza anitafte tu
 
Back
Top Bottom