Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 4,876
- 1,549
Utangulizi
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1).
Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 27 kwa ajili ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Job title: Mthamini daraja la ii (valuer grade ii) – nafasi 1
Majukumu ya kazi
Kukusanya taarifa za utafiti na mwenendo wa soko la ardhi.
Kuhakiki kumbukumbu za utafiti na kuziingiza kwenye kompyuta
Sifa za mwombaji
Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Land management and Valuation kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali katika fani za Usimamizi Ardhi na Uthamini. Au
Kuajiriwa wenye cheti cha NCPS katika fani ya Usimamizi Ardhi na Uthamini.
Mshahara
Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali TGS E kwa mwezi.
Job title: Afisa mipango miji daraja la ii (town planner) – nafasi 1
Majukumu ya kazi
Sifa za mwombaji
Kuajiriwa mwenye Stashahada ya juu/Shahada katika fani ya Mipangomiji kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Vyuo Vikuu au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali.
Mshahara
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS E kwa mwezi.
Job title: Mpima ardhi daraja la ii (land surveyor grade ii) – nafasi 1
Majukumu ya kazi
Sifa za mwombaji
Kuajiriwa wenye Stastahada ya juu/Shahada kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi katika fani ya Upimaji Ardhi au Taasisi yoyote inayotambuliwa na National Council of Professional Surveyors (NCPS). Au
Kuajiriwa wenye cheti cha East African Land Survey (EALSC) au National Council of Professional Surveyors Certificate (NCPSC) katika fani ya upimaji ardhi.
Mshahara
Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali TGS E kwa mwezi
Job title: Fundi sanifu daraja ii- ardhi ii (photolithography) – nafasi 2
Majukumu ya kazi
Sifa za mwombaji
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Uchapaji Ramani (photolithography) kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na serikali.
Mshahara -- TGS C
Job title: Katibu mahsusi daraja la iii (personal secretary grade iii) – nafasi 21
Majukumu ya kazi
Sifa za mwombaji
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika programu za Window, Microstoft Office, Internet, E-mail na Publisher.
Mshahara
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B kwa mwezi.
Job title : Fundi sanifu daraja ii - upimaji ardhi (technician grade ii - survey) – nafasi 1
Majukumu ya kazi
Sifa za mwombaji
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Upimaji Ardhi kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Mshahara
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS C kwa mwezi
NB: Masharti ya kazi zote kwa ujumla.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo;
http://portal.ajira.go.tz/
Muhimu: kumbuka kuweka (to attach) barua yako ya maombi
Kwenye sehemu ya ‘other attachements’.
Vyeti na wasifu (cv) vitakavyotumwa bila barua ya maombi havitafikiriwa.
Waombaji wanatakiwa kuandika majina ya vyuo vyao na kozi kwa kirefu (Eg. Bachelor of Science with Computer Science, University of Dar es Salaam, na msiandike, BSc. Computer Science UDSM)
Deadline:18 Januari, 2020

- Kuandaa mipango ya maeneo yaliyoendelezwa kiholela.
- Kuandaa michoro ya Mipangomiji.
- Kupokea michoro ya Mipangomiji na taarifa za maeneo ya ardhi yanayopendekezwa kuiva kwa ajili ya uendelezaji kimji.
- Kuchambua takwimu na taarifa kwa ajili ya maandalizi ya mipango mipya ya makazi.
- Kupokea na kuweka kumbukumbu za maombi ya mabadiliko ya matumizi ya ardhi na umegaji wa viwanja.
- Kuhakikisha kuwa mabadiliko ya matumizi ya ardhi yanaingizwa katika michoro
Sifa za mwombaji
Kuajiriwa mwenye Stashahada ya juu/Shahada katika fani ya Mipangomiji kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi au Vyuo Vikuu au Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali.
Mshahara
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS E kwa mwezi.
Job title: Mpima ardhi daraja la ii (land surveyor grade ii) – nafasi 1
Majukumu ya kazi
- Sehemu ya Upimaji Milki (Cadastral Survey)
- Kuingiza taarifa za Upimaji (alpha numeric data) kwenye kompyuta.
- Sehemu ya Topographic na Geodetic Surveys
- Kukagua kazi za upimaji na kuingiza taarifa za kazi zilizothibitishwa kwenye komputa.
- Sehemu ya Ramani
- Kufanya upimaji picha (aerial triangulation and block adjustment); - Kuandaa vikosi kwa ajili ya kuhuisha ramani (map revision)
- Kutunza kumbukumbu za picha za anga.
- Sehemu ya Hydrographic Surveys
- Kusimamia na kuchukua vipimo vya tide gauges.
- Mpima Ardhi katika Serikali za Mitaa
- Kufanya kazi za nje ya Ofisi (field survey operations) chini ya usimamizi wa mpima aliyesajiliwa.
Sifa za mwombaji
Kuajiriwa wenye Stastahada ya juu/Shahada kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi katika fani ya Upimaji Ardhi au Taasisi yoyote inayotambuliwa na National Council of Professional Surveyors (NCPS). Au
Kuajiriwa wenye cheti cha East African Land Survey (EALSC) au National Council of Professional Surveyors Certificate (NCPSC) katika fani ya upimaji ardhi.
Mshahara
Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Serikali TGS E kwa mwezi
Job title: Fundi sanifu daraja ii- ardhi ii (photolithography) – nafasi 2
Majukumu ya kazi
- Kuandaa vifaa vya uchapaji wa ramani,vitabu,vipeperushi n.k
- Kutoa nakala za picha za anga katika uwiano mbalimbali
- Kufanya maandalizi yanayohusu upigaji wa ramani na picha za anga. Kuchapa ramani.
Sifa za mwombaji
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Uchapaji Ramani (photolithography) kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na serikali.
Mshahara -- TGS C
Job title: Katibu mahsusi daraja la iii (personal secretary grade iii) – nafasi 21
Majukumu ya kazi
- Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida.
- Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa.
- Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa wakati unaohitajika.
- Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majadala, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini.
- Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
- Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maofisa walio katika sehemu alipo, na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
- Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
Sifa za mwombaji
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika programu za Window, Microstoft Office, Internet, E-mail na Publisher.
Mshahara
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS B kwa mwezi.
Job title : Fundi sanifu daraja ii - upimaji ardhi (technician grade ii - survey) – nafasi 1
Majukumu ya kazi
- Kupanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji, vifaa vya upimaji na mahitaji ya jumla
- Kufanya upimaji wa awali na kusimika ardhini alama za upimaji
- Kufanya upimaji na kukusanya taarifa za takwimu zote za upimaji
- Kuchora “sketch” ya michoro ya upimaji
- Kufanya mahesabu ya upimaji
Sifa za mwombaji
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani ya Upimaji Ardhi kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Mshahara
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS C kwa mwezi
NB: Masharti ya kazi zote kwa ujumla.
- Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
- Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
- Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
- Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees) watatu wa kuaminika.
- Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika.
- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
- Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
- Computer Certificate
- Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
- Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
- Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA). vii. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
- Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.
- Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za kisheria.