Nafasi za Kazi ya Ualimu Shule ya Ellen White

Nafasi za Kazi ya Ualimu Shule ya Ellen White

Abtali Mwerevu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
796
Reaction score
707
Shule hii imetangaza zaidi ya nafasi 28 za walimu. Shule inapatikana Dodoma na yeyote anaweza akaomba. Maelekezo Zaidi juu ya namna ya kuomba na Taratibu zao Soma Hapa.

Kitu cha tofuati kuhusu shule hii ni kwamba, inakwenda na wakati, mfumo wake wa maombi ya kazi ni kama ule wa ajira portal. Kila la heri walimu.
 
Mmh nina wasiwasi na hiyo shule, mwalimu wa primary private kulipwa laki tano? Lszima kuna usumbufu ktk ulipaji au kuna tatizo
 
Back
Top Bottom