Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If uko na qualifications za kupewa ajira then utapewa but kama huna vigezo hata kama mmefanya interview watu pungufu ya nafasi zinazohitajika basi nafasi zitakuwa re-advertised kupata wa kujazia😎Msaada kwa wadau mwenye uzoefu au aliyewahi kukutana na situation hii
Tumewahi kuhudhuria interview inayohitaji watu 70 wa kuajiriwa na washiriki wa usaili tulikua 37 aisee walipita 20 na nafasi 50 zikatangazwa tena na muda ulipangwa.Unauzoefu n situation hii??
Jipe moyo na ujitathimini na majibu yako uliyoyatoa kwenye usaili. Kama unahisi ulifanya vema andaa viatu vyakuvaa kazini ila Kama ulimbwela karibu madibira kupandikiza mpunga.Duh hii nimeikosa
Ilikua oral na written, ilikua Ni kazi ya ualimu kwenye taasisi moja yenye shule 35 wakawa wanataka kuongezea walimu wawili Kila shule.Ilikua ya utumishi?? Na n oral au written??
Hahahahahaaaa hapo omba upate huruma za wasimamiziMaswali mawil yamenigonga yametaka point 5 nmejibu mbili mbili
kama hamjafuzu tuta tangaza tenaUnauzoefu n situation hii??
Ilikuwa Written au OralMaswali mawil yamenigonga yametaka point 5 nmejibu mbili mbili
kwahyo walitaka points 5 uzitaje zote..?Oral