Libertatem Pugnator
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,005
- 1,377
Kuna mtu namjua ilitokea hiyo. Walikuwa wawili tu kwenye nafasi iliyotangazwa lakini wote waliikosa ikatangazwa upyaUnauzoefu n situation hii??
Jamaa hataki kukubali after all kama ni expert kwenye area huwezi shindwa fikisha asilimia hamsini.Kuna mtu namjua ilitokea hiyo. Walikuwa wawili tu kwenye nafasi iliyotangazwa lakini wote waliikosa ikatangazwa upya
Yes......Hapo saw ss.. Na ni utumishi?
Walifika mpk oral?
Government Haina double standard kama hamna aliyefika 50% then wote mtapigwa chini then itatangaza Tena hata mara mia itarudia mpaka impate in accordance with the law and standard regulations,Msaada kwa wadau mwenye uzoefu au aliyewahi kukutana na situation hii
Makini sana broGovernment Haina double standard kama hamna aliyefika 50% then wote mtapigwa chini then itatangaza Tena hata mara mia itarudia mpaka impate in accordance with the law and standard regulations,
Kwenye interview hawatafuti accuracy kwenye your response what they want to is professional response, please respond like pro and not like students kwenye oral interview they want to validate your experience, kama huna experience lazima uonekane hata ujiamini vipi Tajiri nakuambia kama professional niliosaudia watu wengi na wamepata kazi serikalini au private, watu wengi wanajibu kama wanafunzi yaaani ukariri google unajibu kama lilivyo google mfano unaulizwa what are the projects you have coordinated so far? Then unajibu kama google no way, Kila mtu anapitia challenges zake and Kila mtuu na SWOT zake why juma na hamis na google wafanane 100% no way .
The main objective of oral interview is to validate the work experience you can cheat on written if you are smart you can cheat on practical if you are smart and you can never cheat on oral pale Maji na mafuta hujitenga
Watu walioitwa ni 17 waliokuja interview ni 8 kazi yenyewe inataka watu 12Ndio lazima ufikishe 50 percent kwnye oral interview. Kwanza juulize kwa nini nafasi zipo 12 na mmeitwa 8 hizo nyingine zitatangazwa kama ambavyo pia mkishindwa kufikisha hizo aslimia hamsini pia watatangaza.
Umejibu matatu au?? then mawili yamekushida nusu nusu, kama ni hivyo basi utafaulu tuMaswali mawil yamenigonga yametaka point 5 nmejibu mbili mbili