Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 594
- 291
- Thread starter
-
- #41
Tz nzima wapo
Usifate mkumbo, hayo mambo ya "HALAFU USIKUTE" ni uvivu wa kufikilisha akili yako maana unachokiongea hakipo kwnye kampuni yetuHatari sana. Halafu usikute hakuna mambo ya kurudishiana nauli wala hela ya kujikimu. Na mwisho wa siku mtu anaikosa kazi
CC Isaack NewtonKERO - Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka
Salute. Naomba niende kwenye maada mimi kama askari (mlinzi) wa kampuni binafsi wa Garda world nimeamua kutumia platform hii kuleta kero ya kiongozi wetu mkuu wa kampuni ya ulinzi Garda world. Kiukweli kiongozi wetu LuQmay tangu umepata kazi kwenye kampuni yetu sisi kama walinzi upande wa...www.jamiiforums.com
Kweli kabisa. Ni unyanyasaji mwanzo mwisho mfano Kuna kampuni la ulinzi Gardaworld( zamani kk security) aise Kuna jamaa zangu pale Kila mwisho wa mwezi wanalalamika mshahara unakatwa kuanzia elfu hamsini na kuendelea. Wakilalamika Kwa waajiri wao wanaambiwa waache kazi wapo wanaouhitaji huo mshahara na mazingira hayo ya kukatwa kiasi hicho bila sababu ya msingi. Kwa ujumla Tanzania ni kama kuku wa kienyeni tu utajua utakavyoishi. Mkipata muda mamlaka husika pitieni kwenye haya makampuni ya ulinzi hasa hasa kk security ya zamani na Sasa hivi ni Gardaworld.
Engonga aligonga wake 400+ wa vigogo na kuwarekodi! Sasa mke wa mlinzi kugongwa ajabu iko wapi?80k mpaka 150k,,, ndo mishahara ya walinzi wa kampuni ! Tuna safari ndefu sana, huyu mtu ukute anatumia nauli kwenda kazini, ni mjini kapanga na ana familia ! Utaacha kugongewa mkeo kweli ?
Mkuuu kwa mwenz Kiasi gani Cha mshahara kima Cha chini na uwa wana NSSF.kama umemaliza form 4 na ni mrefu uhakika kupata 100% mi Niko huku
Mkuuu kwa mwenz Kiasi gani Cha mshahara kima Cha chini na uwa wana NSSF
Yeah kampuni inafanya kazi kwa mjibu wa sheria, kwahiyo NSSF ipo na NIHF ipo.Mkuuu kwa mwenz Kiasi gani Cha mshahara kima Cha chini na uwa wana NSSF.
Na malipo yake yapoje mkuuYeah kampuni inafanya kazi kwa mjibu wa sheria, kwahiyo NSSF ipo na NIHF ipo.
Sawa mwanaume Unayefanya kazi GADA..!! π π π πWaacha wanaume wapeleke maombi, we hamisa mobeto kaa huko huko.
Sio GADA ashura, ni GARDAWORLDSawa mwanaume Unayefanya kazi GADA..!! π π π π
Mkuuu ujanijibu mshahara ndy kias ganSio GADA ashura, ni GARDAWORLD