Nafikiri Hawa Rappers 20 wa Bongo ndio bora kwa muda wote

Nafikiri Hawa Rappers 20 wa Bongo ndio bora kwa muda wote

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
20: Roma Mkatoliki

19: King Crazy GK

18: Inspector Haroun/Babu

17: Chid Benz

16: Joh Makini

15: Langa

14: AY/MASTA

13: Mwana FA/Binamu

12: Nick Mbishi

11: Faza Nelly

10: Ngwair/Mangwair/CowBama

9: Jay Moe/Mo Famous

8: Solo Thang

7: Balozi Do La Soul

6: KBC

5: Saigon

4: Afande Sele

3: Fid Q/ Farid Kubanda

2: Professor J/J wa mitulinga

1: Mr 2/ 2 Proud/ Sugu
 
Everyone is entitled to their opinion.
 
Chidi Benz na Joh kuwa kwenye hizo namba ni dhambi kubwa sana umefanya

Sugu ni mkongwe but hakuwa rapper bora.
Pia kumuwema afande sele kama rapper bora ni utani tu. Afande ni muandishi mzuri but sio rapper mzuri. Afande sele naamini kwa uandishi hakuna anayemfikia

Kwa kwa rappers bongo hii hakuna anayemfikia chid beenz, namba mbili Nampa Ngwair.
 
20: Roma Mkatoliki

19: King Crazy GK

18: Inspector Haroun/Babu

17: Chid Benz

16: Joh Makini

15: Langa

14: AY/MASTA

13: Mwana FA/Binamu

12: Nick Mbishi

11: Faza Nelly

10: Ngwair/Mangwair/CowBama

9: Jay Moe/Mo Famous

8: Solo Thang

7: Balozi Do La Soul

6: KBC

5: Saigon

4: Afande Sele

3: Fid Q/ Farid Kubanda

2: Professor J/J wa mitulinga

1: Mr 2/ 2 Proud/ Sugu
Mwondoe Joh Makini kwenye orodha haraka sana!!!
[emoji51][emoji51][emoji51]
 
3.Dizasta V
1 Farid Q
2 Proffessor J
4.Chid Benzino
7.Bando
6.MwanaFA
5.Ngwair
8.Mbish Nikki.
10.Makini Joh
9.Mkatoliki ROMA
 
Na kuhusu Dizasta, Fid Q, Pro sina maelezo kila mtu anawajua, ila kumpuuza Ngwair ni ujinga mwingine. Kuhusu Mbish kasikilize Play boy.
Joh na Roma wanafanya mziki unaopendwa na wengi na wakovizur pia kimichano.
 
20: Roma Mkatoliki

19: King Crazy GK

18: Inspector Haroun/Babu

17: Chid Benz

16: Joh Makini

15: Langa

14: AY/MASTA

13: Mwana FA/Binamu

12: Nick Mbishi

11: Faza Nelly

10: Ngwair/Mangwair/CowBama

9: Jay Moe/Mo Famous

8: Solo Thang

7: Balozi Do La Soul

6: KBC

5: Saigon

4: Afande Sele

3: Fid Q/ Farid Kubanda

2: Professor J/J wa mitulinga

1: Mr 2/ 2 Proud/ Sugu
Saigon
Joh makin
Gk
KBC

watoe ktk list.....
 
1.Chief Ramso
2. Hashim Dogo
3. Solo Thang
4.
 
Hiyo list ni batili but J,cowbama na chidi wanastahili kuwepo hapo.
 
Back
Top Bottom