Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
List iko sawa20: Roma Mkatoliki
19: King Crazy GK
18: Inspector Haroun/Babu
17: Chid Benz
16: Joh Makini
15: Langa
14: AY/MASTA
13: Mwana FA/Binamu
12: Nick Mbishi
11: Faza Nelly
10: Ngwair/Mangwair/CowBama
9: Jay Moe/Mo Famous
8: Solo Thang
7: Balozi Do La Soul
6: KBC
5: Saigon
4: Afande Sele
3: Fid Q/ Farid Kubanda
2: Professor J/J wa mitulinga
1: Mr 2/ 2 Proud/ Sugu
Chidi Benz na Joh kuwa kwenye hizo namba ni dhambi kubwa sana umefanya
Sugu ni mkongwe but hakuwa rapper bora.
Pia kumuwema afande sele kama rapper bora ni utani tu. Afande ni muandishi mzuri but sio rapper mzuri. Afande sele naamini kwa uandishi hakuna anayemfikia
Kwa kwa rappers bongo hii hakuna anayemfikia chid beenz, namba mbili Nampa Ngwair.
Unajua Sana mkuuChidi Benz na Joh kuwa kwenye hizo namba ni dhambi kubwa sana umefanya
Sugu ni mkongwe but hakuwa rapper bora.
Pia kumuwema afande sele kama rapper bora ni utani tu. Afande ni muandishi mzuri but sio rapper mzuri. Afande sele naamini kwa uandishi hakuna anayemfikia
Kwa kwa rappers bongo hii hakuna anayemfikia chid beenz, namba mbili Nampa Ngwair.
Nash yana Ngoma gani zilizopenya mtaani ndani ndani kabisa sugu? Sugu ana hit Kali kama Moto Chini, Deiwaka, hayakua mapenzi, kiburi na sugu...ukitoa ulegend, Sugu ni overrated rapper. ukiweka battle na Nash MC/maalim Nash/ Shaban Nash Robert MC. Sugu anakalishwa vizuri tu
Uko serious au unatania... Au we n mtoto wa 2000?Nikadhani unaangalia uandishi, kama unaongelea kupenya mtaani, sugu hastahili kuingia top 10, watakaa hao rappers kama kina Joh makin, fid Q, Roma na wengine. Sugu hana ngoma iliyopenya kitaa ikakubalika kirahisi hivyo. Mim nazijua ngoma za sugu sababu namfatilia. ila kwa mtu anayesubiri asikilize mziki radioni, tusidanganyane hawezi kukutajia hata nyimbo 5 za sugu
Umezingua. Huna unalolijua kuhusu sugu.Sugu hana ngoma iliyopenya kitaa ikakubalika kirahisi hivyo. Mim nazijua ngoma za sugu sababu namfatilia. ila kwa mtu anayesubiri asikilize mziki radioni, tusidanganyane hawezi kukutajia hata nyimbo 5 za sugu