Nafikiri Hawa Rappers 20 wa Bongo ndio bora kwa muda wote

List iko sawa
 
Hiyo list ni batili bila kuwepo kwa Nikk Wa Pili, kasikilize Kiujamaa, na Good Boy ndio utajua Weusi wanarap mziki unaopendwa na wengi ..hip-hop siku hizi ni biashara

Formula Moto zimelia ft Joh Makin, Ben & Jay Melody
 

Kumbuka huyo ndio mfalme wa rymes hadi leo
 
Nikazi ngumu sana kupanga list kama hizi
Lakini hata hivyo Nilitegemea pia kuwaona

Sir Nature aka Kiroboto
Babylon Bayser
Godzillah
Dizasta Vina

Sikutegemea kumuona
Crazy GK
Balozi
 
Unajua Sana mkuu
 
Naomba maelezo machache kumhusu KBC, simfahamu kbsa
 
Nakuja na Uzi Wa rappers Bora 20...

Ngoja nikitulia jamaa kadanganya uma
 
ukitoa ulegend, Sugu ni overrated rapper. ukiweka battle na Nash MC/maalim Nash/ Shaban Nash Robert MC. Sugu anakalishwa vizuri tu
Nash yana Ngoma gani zilizopenya mtaani ndani ndani kabisa sugu? Sugu ana hit Kali kama Moto Chini, Deiwaka, hayakua mapenzi, kiburi na sugu...
Nitajie Ngoma za nashi... Bila maelezo
 
Uko serious au unatania... Au we n mtoto wa 2000?
Sugu wakati anatoa Deiwaka ulikua umezaliwa?
Hizi hapa Ngoma za sugu zilizowahi kutamba vinginevyo utabisha kama umezaliwa 2000+

Wananiita Sugu, Kiburi, mambo ya fedha, Moto Chini, hayakua mapenzi na hapo zamani
 
Sugu hana ngoma iliyopenya kitaa ikakubalika kirahisi hivyo. Mim nazijua ngoma za sugu sababu namfatilia. ila kwa mtu anayesubiri asikilize mziki radioni, tusidanganyane hawezi kukutajia hata nyimbo 5 za sugu
Umezingua. Huna unalolijua kuhusu sugu.
 
Weka tamaduni kadhaa hapa man sema kama namba ulizowapa ndio usahihi kwa Mr II kukaa namba moja napinga nakumbuka tulikuwa na tape yake bongo dsm nadhani lakini ngoma za kawaida sana sisemi akose kwenye top 20 lakini kukaa namba moja sio kweli
 
Kila mtu na mtazamo wake lakini kwangu nikama ifuatavyo
1.J Mo
2.Fid Q
3.Magwer
4.Chid
5.Prof J
6.Langa
7.FA
8.Sugu
9.Balozi(Huyu ni mkali sana labda angetoa kazi nyingi angekuwa top)
10.Roma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…