Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

🤣🤣🤣🤣 du umeamua kutoa ya moyoni kabisaa
 
Hauna unachodaiwa hapo kama binadamu mwenzetu umemaliza kila kitu kama inavyotakiwa angalia future yako na familia sasa.
 
Unatakiwa kuwa na "No nonsense" approach ,kamwe usiintertain upuuzi ,fukuza huyo fala
Tafuta mtu mwingine
Wakenya na wahindi hii approach ndio wanatumia , hutakiwi kusumbuka na mpumbavu kama huyo

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
BRaza ahsante kwa ushauri japo umetumia lugha kali sana isivyo lazima.
kwanza kabisa nikiri mpaka kulileta hapa ni dhahiri linaniumiza sana kichwa ndio maana hapa nikaona ni mahala sahihi kabisa.
sio kwamba nafanya mbwembwe, hapana. Najaribu tu kufuata taratibu za kazi na pia ku apply proffesionalism kwakua hii ni biashara ya tofauti kidogo mkuu wangu, una deal na institutions so watu wako wanafanya kaz kuna namna wanapaswa kuwa na kuna namna wanapaswa kuwa treated.
2. Hiyo sababu namba 1 inafanya utumie gharama kubwa kuendesha biashara yako. Watu wanne wa kazi gani wakati mnaweza kuwa wawili tu mkapiga kazi? Ukitaka wengine si unawapa tu kazi za deiwaka?
Hii uko sahihi, na moja wapo ya njia niliamua ku come up baada ya kuumiza kichwa ni kuwa na sort of dayworker lakin kwangu imekaa tofauti. I started with an oversea person ambaye yeye ana kaz zake lakin anafanya pia kaz na mimi kwa namna tulivyo arrange na njia hii nimeanza kuona matokeo yake
3. Bado biashara yako sio kubwa. Bado unajitafuta. Hii ndo sababu umekuja kulia hapa kwasababu ya hivyo vichomi vya gharama zinazokuandama.
SIkupingi kabisaa mkuu. Ndio maana nikaleta hoja mezani
SIo chai.
40% ni one time sale commision, analipwa mara 1 tu. Mfano amefanya sale kwa mteja ambaye tunaingia mkataba wa kufanya nae kasz kwa gharama ya 100,000/= kwa mwezi, kama ofisi namlipa 40,000/= kama commision. Yeye sio share holder japo katika hii sale ya 100k aliyo fanya nitapa icrememt ya 5% kama nyongeza ya mshahara wake kwa miaka mi 3 as long as mteja huyo haitatokea kuvunja mkataba
5. Unafanya show off za kujifanya ni mtu mwema. Huwa tunasema usijifanye mkristo kuliko Yesu mwenyewe.
sifanyi show off chief. Kama umekwazika nisamehe sana maana sio lengo. Kumbuka pia tumetofautian, ulivyo sivyo mwingine anaweza kuwa. Tusaidiane kupeana mawazo badala ya kutoleana lugha zisizofaa
6. Ni mwoga wa kufanya maamuzi magumu. Ukiendeleza huo uoga utafilisika. Umekubali hadi dogo akudharau.
inaweza kuwa kwel. Moja ya kitu ambacho nakiri nakosa ufanisi ni katika suala zima la managent. Nature yangu ni kwamba napendelea kufanya kaz na watu wenye akilo wanaojua nini wanatafuta ili kupunguza kufuatiliana sana. Huo muda nikiri huwa naona kama bora ni invest katika kufanya mambo ya msingi zaidi kuliko kukufuatilia wewe. Nafikiri kaz yangu ya kwanza ilini athiri, sipendi kufuatiliwa katika kaz na matokeo yake ndio haya sasa huwa na assume mtu hatakiwi kusimamiwa kwenye majukumu yake ambayo mwisho wa siku analipwa kuyafanya. Kwann nikulipe na bado nikufuate nyuma nyuma?
NB: Nampongeza huyo dogo kutafuna hela zako hadi akili ikukae sawa.
Sawa.
 
Nimekusoma mkuu
Fanya hivyo mkuu ,lasivyo unaua biashara hiyo ,
Ndio maana wajasiriamali na biashara za Wa TZ wengi zinarudi nyuma na kudumaa ,na matokeo yake uchumi unaishia kuendeshwa na wageni , weka huruma pembeni kaka
Anakurudisha nyuma huyo dogo ,na uzuri ushamsoma kwamba hawezi badilika
"UKICHEKA NA NYANI UNAVUNA MABUA "
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
wenzetu sijui hela wanatoa wapi mpk kuwa na makampuni anyway ngj huenda na sisi tutafka huko tupambane
Kufungua kampuni hizi za kijasiriamali kaka haumalizi hata 1,500,000/= pale brella. Na hapo umetumia ma agents watakaolufuatilia kila kitu wewe umekaa tu kungoja certificates zoote mpaka za Mamlala ya mapato.


Hivyo suala sio kuwa na kampuni, suala ni uendeshaji utakaoi sustain kampuni ibaki hai napia ikupe manufaa mkuu.

Hapo ndio ishu ilipo. Na trust me, unaweza na utafika bila shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…