Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

Jifunze ukatili kidogo...(japokua kwa huyo sio ukatil ni haki yake)..
 
Ofisi za mameneja wa kibongo mda mwingine zinkuaga na visirani kichizi.. nimefanya kazi ofis mbili dar founders na mameneja wabongo ilikuwa mipasho na masimango kila wiki. Bos anaona kama anakusaidia...

Nlipataga intern mahali, hakuna building capacity Wala Nini ni misuguano na masimango tu Hadi nikala Kona bila KUAGA. Mazingira ya kazi kama Yale ikafikia kipindi mpaka kazi naiona homa, ikifika j pili hjion unajiskia homahoma kama mwanafunzi anaeogopa kweenda shule kwa kuogopa bakora. Mm naonaangekuja na yeye tumsikie kwanza
 
okay. Ni umeamua kueleza story yako tu, kitu ambacho sion kama ni kibays but katika maelezo nimeweka hapo sidhan kama hii ilipaswa kuwa response yako
 
Mkuu piga chini naomba hiyo kazi mi nitaifanya kwa weledi wa hali ya viwango bora kabisa
 
Juhudi za kazi na weledi wa maisha mtu anafunzwa nyumbani. Siyo amefikisha meno 32 afundishwe na mtu baki. Haiwezekani
 
Asante sana kaka kwa muongozo, maana ninafikiria kuwa na kampuni ya utengenezaji bidhaa fulani ila nilikuw sijui naanzia wapi , nina ndoto hio.
 
Kwa mtazamo wangu wa haraka, unaongea naye sana maneno matupu bila vitendo.

Huyo si mtoto. Ulipaswa kuambatanisha kauli zako na vitendo vinavyoendana.

Kama hajui na yupo tayari kujifunza, mvumilie huku ukiendelea kumfundisha.

Lakini kama ana kiburi, kiasi cha kutokutambua kuwa wewe ni bosi wake, mfukuze haraka sana.

Tumia ile kanuni ya kiuchumi, (nimeisahau jina). Kwamba, ukitaka "punda" akubebee mzigo wako, pita mbele ukiwa na chakula kinachomvutia. Atakufuata akituamaini kuwa mkifika mwisho wa safari utampatia hicho chakula.

Kama hilo halitamhamasisha, rudi nyuma yake ukiwa na mjeledi. Tandika mijeledi.

Kama hamasa ya chakula kizuri hakitamfanya atembee, maumivu ya mijeledi itamlazimisha kukimbia.

Usiwanyanyase wafanyakazi wako. Lakini utakosea sana ukiwaruhusu wakupande kichwani.

Wafanye marafiki zako, lakini wasisahau kuwa wewe ni kiongozi wao.
 
Una hoja ya msingi, ila umetumia lugha ngumu sana.
 

Wanaume siku hizi wanalalamika sana kitu kidogo mtu kawaza kujiua ujinga sana, mimi kwa umri wangu ningeshajiua mara kibao kuna mda maisha Unaona kabisa umetoboa then boom uko chini, unapiga vumbi unatembea ila hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku hizi vijana legelege unakuta mtu kafika hadi chuo kikuu reasoning yake yenyewe ni chini kabisa.

Leo hii nina hakika hata kijana wa hiyo miaka 23 ataogopa kusafiri kutoka Mwanza kwenda Arusha kuchungulia fursa kwa madai hana "ndugu" anayemfahamu, ila yuko radhi afunge safari kumfuata msichana asiyemjua hata background yake.
 
Sio kila anaeteseka mtaani maana yake Amekosa wa kumsaidia wengine ni wa kuwaacha wateseke.Watoto wa siku hizi ni wavivu sana wanata wawe ma tajiri from nowhere hawataki kutokwa na jasho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…