Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Nenda kamshauriAcheni kumuonea mzee wa watu.... Taratibu zifuatwe kila mmoja awajibike kwa nafasi yake.... Mnataka akae kimya ili iweje?. Kwahiyo yeye yupo hapo km mzimu?. Mangungu ana hoja za msingi , uchaguzi ufuate taratibu zake....HABARI ya matokeo ya uwanjani yasiwafanye wengine kuwa wanyonge.... Bata Waheed wewe
Naona mangungu unajipigia pande,kwa sasa hivi huoni.Mangungu yupo sahihi wale kina Magori wapo pale kwa upigaji ndio maana wanatuletea kina Dumbia.
Magori analipwa milioni 22 kwa mwezi unafikiri ataitetea Simba au mo ambaye anamlipa.
Wawekezaji wengi wanatakiwa kuingia Simba ili maendeleo yapatikane.
Nyinyi machawa ndio mnaongeza deni la SimbaNaona mangungu unajipigia pande,kwa sasa hivi huoni.
Mzee mjinga yuleKila wakati Simba inapoaanza safari ya mafanikio anaanza chokochoko.
Kwani hana kazi zingine za kufanya za kumuingizia kipato zaidi ya kuwa Simba SC? Hizi ndio changamoto za kuwapa nafasi kubwa waswahili wasio na vision yeyote kwenye maisha.
Ifike wakati mashabiki tupige mstari huyu mzee tumpige marufuku tusimuone popote kwenye jambo la Simba SC.
Shida ya huyo mzee ni moja tu unaona taratibu hazifuatwi unaingiliwa kwenye majukumu kama anavyosema kwanini anashindwa kujiudhuru kuwaachia timu yao?Acheni kumuonea mzee wa watu.... Taratibu zifuatwe kila mmoja awajibike kwa nafasi yake.... Mnataka akae kimya ili iweje?. Kwahiyo yeye yupo hapo km mzimu?. Mangungu ana hoja za msingi , uchaguzi ufuate taratibu zake....HABARI ya matokeo ya uwanjani yasiwafanye wengine kuwa wanyonge.... Bata Waheed wewe
Analjpwa na nani?Magori analipwa mshahara milioni 22 nani yuko kwenye payroll?
Deni gani,mimi furaha yangu kama shabiki timu kufanya vizuri,hayo mengine hayanihusu.Nyinyi machawa ndio mnaongeza deni la Simba
Ana maslahi ndo maana hataki kutoka.Shida ya huyo mzee ni moja tu unaona taratibu hazifuatwi unaingiliwa kwenye majukumu kama anavyosema kwanini anashindwa kujiudhuru kuwaachia timu yao?
Kama wewe shabiki waachie wanachama wafanye maamuzi yao.Deni gani,mimi furaha yangu kama shabiki timu kufanya vizuri,hayo mengine hayanihusu.
Kwanza mda wake umeisha,atupishe akalee wajukuu.Kama wewe shabiki waachie wanachama wafanye maamuzi yao.
🤣🤣🤣Mnasubiri timu ianze kufanya vibaya mumuandame sasa hivi ana waambia ukweli mmekaza shingo