Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
We Kipenzi Changu huyo Mzee Mangungu anaanza chokochoko au anawaambia ile reality. 😂😂😂
Hawataki kusikia ukweliWe Kipenzi Changu huyo Mzee Mangungu anaanza chokochoko au anawaambia ile reality. 😂😂😂
Afadhali Mtani hujataka kuwa mnafiki.Mangungu yupo sahihi wale kina Magori wapo pale kwa upigaji ndio maana wanatuletea kina Dumbia.
Magori analipwa milioni 22 kwa mwezi unafikiri ataitetea Simba au mo ambaye anamlipa.
Wawekezaji wengi wanatakiwa kuingia Simba ili maendeleo yapatikane.
Na uzuri hajui kusemea pembeni yule mzee akiwa na lake analimwaga mwaaa kila mmoja alisikie na kujua.Hawataki kusikia ukweli
Siyo mnafiki kabisaNa uzuri hajui kusemea pembeni yule mzee akiwa na lake analimwaga mwaaa kila mmoja alisikie na kujua.
Kabisa yaani.Siyo mnafiki kabisa
Wapgaji ni hilo kundi la mangungu na try again walioleta akina Jobe,Sawadogo fredy michael timu ilikua inakula vichapo kwelikweliMangungu yupo sahihi wale kina Magori wapo pale kwa upigaji ndio maana wanatuletea kina Dumbia.
Magori analipwa milioni 22 kwa mwezi unafikiri ataitetea Simba au mo ambaye anamlipa.
Wawekezaji wengi wanatakiwa kuingia Simba ili maendeleo yapatikane.
😀😀hawajui mpaka leo hawana CEOKabisa yaani.
Wale shabiki maandazi wanataka matokeo ya Uwanjani tu yakiwemo kumfunga Yanga huko kwingine hata kukienda ndivyo sivyo wao wanajionea sawa tu. Lol.
Mangungu aishi miaka mingi jamani. 😀
Dumbia nani kamletaWapgaji ni hilo kundi la mangungu na try again walioleta akina Jobe,Sawadogo fredy michael timu ilikua inakula vichapo kwelikweli
Toka magori ashike usukani kazibamianya ya upigaji msimu wa Kwanza tumebeba kombe la ligi na utopolo kanyanyasika toka msimu jana na msimu timu inaongoza ligi na wameleta top player
Mshauri mjomba ako mangungu akae pembeni wakati wa upigaji umepita
Kuna watu akili zao wamezihamisha, timu ikifanya vibaya Mangungu hafai lqkini timu ikifanya vizuri sifa zinaenda kwa mo.Afadhali Mtani hujataka kuwa mnafiki.
Ile sio kazi ya kubeba vyuma inahitaji akiliKwanza mda wake umeisha,atupishe akalee wajukuu.
Miaka yake yote hakuna ubingwa hakuna,tumefungwa mara sita mtawalia na yanga.Ile sio kazi ya kubeba vyuma inahitaji akili
Ajiudhuru kwasababu zipi?, mwenye mamlaka ya kufanya haya ni yeye na sio Bodi.... Kijiudhuru tafsiri yake anatoa mwanaya kwa wasiohusika kunufaika na mchakato feki...!!.Shida ya huyo mzee ni moja tu unaona taratibu hazifuatwi unaingiliwa kwenye majukumu kama anavyosema kwanini anashindwa kujiudhuru kuwaachia timu yao?
Punguza kuwa mjinga kwenye mambo yanayojitaji umakini kuliko kawaida ...!!. Bata ww.Nenda kamshauri
Injinia huko,tuache na simba yetu
Mangungu yeye anaingiza kiasi gani kwenye bajeti ya klabu ?Mangungu yupo sahihi wale kina Magori wapo pale kwa upigaji ndio maana wanatuletea kina Dumbia.
Magori analipwa milioni 22 kwa mwezi unafikiri ataitetea Simba au mo ambaye anamlipa.
Wawekezaji wengi wanatakiwa kuingia Simba ili maendeleo yapatikane.
