Nafikiri Mangungu yupo kwenye payroll ya Yanga kutuvuruga Simba Sc

Mangungu yeye anaingiza kiasi gani kwenye bajeti ya klabu ?

Genge la jaribu tena mnatusumbua sana au mnataka mrudi kuuza wachezaji wetu kwa Yanga. ?
Kuna mikataba ambayo imeingiwa na Simba, Jayruty mkataba wa jezi, Betway, azam media, mkataba wa atcl, simba app vyote hivyo ni vyanzo vya mapato ya simba pamoja na ada za wanachama lakini akaunti haziendweshi na Mangungu bali bodi ambayo mamlaka makubwa wanayo upande wa mwekezaji
 
Kila wakati Simba inapoaanza safari ya mafanikio anaanza chokochoko.

Kwani hana kazi zingine za kufanya za kumuingizia kipato zaidi ya kuwa Simba SC? Hizi ndio changamoto za kuwapa nafasi kubwa waswahili wasio na vision yeyote kwenye maisha.

Ifike wakati mashabiki tupige mstari huyu mzee tumpige marufuku tusimuone popote kwenye jambo la Simba SC.
Mzee Mangungu shikilia hapo hapo mpaka wahuni waliopo hapo klabuni watie akili.
 
Kila wakati Simba inapoaanza safari ya mafanikio anaanza chokochoko.

Kwani hana kazi zingine za kufanya za kumuingizia kipato zaidi ya kuwa Simba SC? Hizi ndio changamoto za kuwapa nafasi kubwa waswahili wasio na vision yeyote kwenye maisha.

Ifike wakati mashabiki tupige mstari huyu mzee tumpige marufuku tusimuone popote kwenye jambo la Simba SC.
Uongozi wa simba mmpe wenyewe halafu muwasingizie yanga. Fuateni taratibu ushindi bila kufuata katiba mliyoipitisha wenyewe haudumu.
 
Kuna mikataba ambayo imeingiwa na Simba, Jayruty mkataba wa jezi, Betway, azam media, mkataba wa atcl, simba app vyote hivyo ni vyanzo vya mapato ya simba pamoja na ada za wanachama lakini akaunti haziendweshi na Mangungu bali bodi ambayo mamlaka makubwa wanayo upande wa mwekezaji

Hiyo mikataba imejileta hapo Simba kama siyo uwekezaji wa Mo nani angeweka billion 20+ za matangazo tu ?

Wewe na Mangungu mnataka kutuharibia timu yetu.
 
Bata mwenyewe,uliwahi kuona wapi mwanayanga anaitakia mema simba,tutolee unafiki hapa mbwa wewe.
😂 Mangungu hawezi kukubali huo upuuzi .. hapa tunaongea mambo ya mpira sio porojo za Simba na yanga!!. Jikite kwenye Katiba inataka utaratibu ufuatwe .... Inawezekanaje mwenye jukum na mamlaka ya tukio husika akawa mwalikwa na sio mhusika mkuu?. Kwahiyo ingekuwa wewe ndio Mangungu ukaliacha tu?.
 
Haijalishi yule ngungu boy yupo pale kwa maslahi yake binafsi,afu isitoshe wana simba wengi hawamhitaji kwanini asiondoke aachie wengine maslahi binafsi ndo tatizo,narudia tena hakuna mwanayanga anaeitakia mema simba,mnataka aendelee kubaki ili muwe mna chukua ubingwa kiurahisi,tumeshitka ndugu mwanayanga.
 
Nani yupo simba kwa MASLAH ya klabu?.
 
Nani yupo simba kwa MASLAH ya klabu?.
Magori mo dewj,kwani ngungu boy yeye ana musaada gani?zaidi ya kutuchomesha,amekaa miaka tano no ubingwa kupigwa na mtaani mara 6 mtawalia,kiukweli akiendelea kubaki hatutachukua ubingwa wowote ule,na ndo furaha ya wanayanga abaki ili muendelee kutupiga.
 
Una umri gani?, level ya kielim?. Samahani sikujui kama una akili za hivi!! 🙌🙌🙌🚶
 
Tumechukua ubingwa mara nne mfululizo mo dewj akiwepo,huyo mangungu ameifanyia nini simba,au ndio ngungu boy mwenyewe ni we.
Wakati Simba ikipoteza ubingwa mara sita mo dewji alikuwa hayupo.
Samahani kwa lugha nitakayotumia, hivi nikisema nyinyi ndio wale wapumbavu Simba ikifanya vizuri sifa zinaenda kwa mo dewji ila ikifanya vibaya lawama zinaenda kwa Mangungu.
 
Hiyo mikataba imejileta hapo Simba kama siyo uwekezaji wa Mo nani angeweka billion 20+ za matangazo tu ?

Wewe na Mangungu mnataka kutuharibia timu yetu.
SImba ilishawahi kuwa na mkataba na benki ya NBC pamoja na Twiga Cement au ulikuwa haujazaliwa.
Ilikuwa na mkataba na kampuni ya bia. Wakata Aveva na Kaburu wanaingia mkataba wa Sportpesa mo dewji alitoka hadharani kulalamika Simba imeingia mkataba bila yeye kushirikishwa na hapo mchakato wa uwekezaji ulikuwa haujaanza. Azam media walitaka kuingia mkataba na Simba pamoja na Yanga wa bilioni 40 kwa miaka 10 lakini mo alipinga na kusema Simba haiwezi kupewa mkatava sawa na yanga kwa sababu brand yao ni kubwa kuliko yanga huku akisahau yeye alitaka kutoa bilioni 20 kununua hisa 49. Lakini waliingia mkataba kinyemela wakati yanga wanapata bilioni 4 kwa mwaka Simba wanapa bilioni 2.6 kwa mwaka sasa kama bilioni 4 ilikuwa ndogo kwanini bilioni 2.6 ionekane nyingi?
Simba miaka 8 haijaingiza wanachama unafikiri imepoteza kiasi gani kwa kutoingiza wanachama?
Kwa kifupi Simba ina uwezo wa kujitegemea bila ya mo wala mwekezaji yoyote.
 
Unazungumzia wanachama hawa wanaonunua jezi feki za 5k wanaacha jezi za mzabuni?
Hiyo mikataba ya Wadhamini bila uwepo wa mwekezaji hela zitaishia kwenye mifuko ya kina Mangungu na wahuni kama nyinyi.
Msituharibie timu yetu kaanzisheni Kilwa Star mfuate katiba yenu.
 
Bado wanachama wana mchango wao , wanaonunua jezi kwa bei ya juu ni mashabiki vipi ukiwageuwa wanachama unafikiri watashindwa kulipa ada ya laki moja kwa mwaka.
 
Unahitaji mashabiki wangapi wachangie laki laki zao kupata 20b za bajeti ya msimu mmoja.

Msiturudishe kwenye ujima wa bakuli kwenye timu yetu wewe na Mangungu anzisheni Kilwa Stars mchangishane na wanachama.
 
Kila wakati Simba inapoaanza safari ya mafanikio anaanza chokochoko.

Kwani hana kazi zingine za kufanya za kumuingizia kipato zaidi ya kuwa Simba SC? Hizi ndio changamoto za kuwapa nafasi kubwa waswahili wasio na vision yeyote kwenye maisha.

Ifike wakati mashabiki tupige mstari huyu mzee tumpige marufuku tusimuone popote kwenye jambo la Simba SC.
Ungejibu hoja zake kwa kutumia katiba, sio kuleta hisia.
 
Back
Top Bottom