Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Kadi halali ya uanachama anayo?Uchaguzi si ni mwakani pigeni chini
Kadi halali ya uanachama anayo?Uchaguzi si ni mwakani pigeni chini
Sawa sawaKama wewe shabiki waachie wanachama wafanye maamuzi yao.
Ni Kweli? Mkwabi nae anarudi kula matapishi yake?Mangungu yupo sahihi wale kina Magori wapo pale kwa upigaji ndio maana wanatuletea kina Dumbia.
Magori analipwa milioni 22 kwa mwezi unafikiri ataitetea Simba au mo ambaye anamlipa.
Wawekezaji wengi wanatakiwa kuingia Simba ili maendeleo yapatikane.
Kwani mo si alinunua mbagala market , mji Singida alizifikosha wapi mbona alishindwa , katiba inapata wawekezajo wasiopungua 3 kama anataka kuwa peke yake amwige bakhresa aanzishe timu yake na wewe unaweza kupata ajira kwake.Unahitaji mashabiki wangapi wachangie laki laki zao kupata 20b za bajeti ya msimu mmoja.
Msiturudishe kwenye ujima wa bakuli kwenye timu yetu wewe na Mangungu anzisheni Kilwa Stars mchangishane na wanachama.
Wanasimba walishampa Timu Mo hilo wewe na Mangungu hamuwezi kulibadilisha acheni ubazazi wenu bwana.Kwani mo si alinunua mbagala market , mji Singida alizifikosha wapi mbona alishindwa , katiba inapata wawekezajo wasiopungua 3 kama anataka kuwa peke yake amwige bakhresa aanzishe timu yake na wewe unaweza kupata ajira kwake.
Mwalimu wako alipata lawama za bure wakati anakufundisha, hao wanasimba unawajua peke yako. Nyinyi ndio machawa mnaoongeza deni la Simba.Wanasimba walishampa Timu Mo hilo wewe na Mangungu hamuwezi kulibadilisha acheni ubazazi wenu bwana.