DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Ulitaka kusema anatakiwa kuyasema makosa yake public?Uko sahihi sana kwa hili,na hii ndio chanzo kikuu cha kuambiwa wanawake ndio wanaoharibu watoto.Unakuta anajua kabisa kuwa mtoto ana makosa lakini atayaficha akijua anamsaidia kumbe ndio anampoteza...
Huwezi sema very brilliantly...Nimeangalia hiyo Interview Clouds. Nimegundua Mama Chidi ( Hawa) She is very Brilliantly.. mtangazaji alitaka kumtumia Mama ili aoneshe Mapungufu mengi ya Mtoto wake.. Mama anasisitiza Tatizo lipo ila sio lazima ku expose Publically.. ndicho Mama anasisitiza.. na amekua Mjanja sana kujibu maswali.. Hata mtangazaji alikua anakosea sana kutaka kuweka vitu Vingi Publically!!
Wamama hupenda Kuvaa viatu vya Watoto wao..
Unamlaumu mama, wakati hilo ni jibaba zima na akili zake. Chid kapewa msaada mara nyingi tu, halafu leo mzazi aonekane tatizo. Kweli kuwa mzazi ni kazi na ni maumivu makubwa.Wasalaam.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimeona interview ya mama yake Chid Benz na Clouds tv kwenye kipindi cha Shajara.
Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubali kama mwanaye ana shida yaani hana Imani kabisa kwamba Chid ana shida.
Hii inaweza kupelekea Chid asipate unafuu kwa kipindi hichi cha karibu coz watu muhimu wanaomzunguka hasa mama yake hana imani kama Chid analo tatizo.
Which is correct?Huwezi sema very brilliantly...
Ukiweka very basi unaishia brilliant...
Ukiweka brilliantly...huweki ver
Fatherlessness(Kukosekana kwa Baba katika Familia) ni Janga kubwa sana kwenye jamii zote duniani, ila halizungumziwi. Wanawake wanaharibu sana watoto.Wasalaam.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nimeona interview ya mama yake Chid Benz na Clouds tv kwenye kipindi cha Shajara.
Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubali kama mwanaye ana shida yaani hana Imani kabisa kwamba Chid ana shida.
Hii inaweza kupelekea Chid asipate unafuu kwa kipindi hichi cha karibu coz watu muhimu wanaomzunguka hasa mama yake hana imani kama Chid analo tatizo.
Mama wemaUlitaka kusema anatakiwa kuyasema makosa yake public?
HAkuna mama wa Dizaini hiyo duniani kote au hata wewe kama mzazi unaweza kusema makosa au Aibu ya mwanao Public Huku ukiamini unaissma mbele ya mamilioni ya watu..
Nafikiri katika jambo ambalo kalifanya la muhimu kuliko yote ni hili
Asante kwa somoHuwezi sema very brilliantly...
Ukiweka very basi unaishia brilliant...
Ukiweka brilliantly...huweki very
Na ni publicly au publically?Huwezi sema very brilliantly...
Ukiweka very basi unaishia brilliant...
Ukiweka brilliantly...huweki very
Sio kweli malezi ya mama wote yanaharibu watoto. Tuwape heshima wamama wanajitahidi sana. Mimi nimelelewa na mama na nilipata malezi Bora kabisa. Wanaume wengi wamekuwa walevi, wameendekeza michepuko matokeo yake wamewatelekezea wanawake watoto. Na wamewamudu vizuri tuu. Tuache kuwatupia lawama wanawake, tujiulize hao wababa wako wapi?Fatherlessness(Kukosekana kwa Baba katika Familia) ni Janga kubwa sana kwenye jamii zote duniani, ila halizungumziwi. Wanawake wanaharibu sana watoto.
Hata kuwaita influencers umewahishim sana kamanda. Radio zimeajiri mbururaz. Wajinga flan amazing. Akil kichwan sifuri kabisa yanHapo ndo jamii ione namna ilivyo ujinga kuajiri influencers badala ya wanahabari wenye taaluma
No kakubali ila hujui malezi ya watoto hao wakianza kutumia hivyo vitu,Huyu mama kwakweli yeye mwenyewe hajakubali kama mwanaye ana shida yaani hana Imani kabisa kwamba Chid ana shida.
Imefika mahala nimeacha kabisa kusikiliza hizi redio zetu na vipindi vya TVs. Mtu anayeweza kusema sema hovyo asiyeahirikisha ubongo kwenye ulimi wake ndo wanapewa vipindi kuviendesha.Hata kuwaita influencers umewahishim sana kamanda. Radio zimeajiri mbururaz. Wajinga flan amazing. Akil kichwan sifuri kabisa yan
Mama wema akichoka na Body count za mwanaye alikuwa anahesabu zimefika zaidi ya mia akaona usinitanie wewe π π πMama wema
[emoji23]Ila mama yake Wema aliweza...sio kwa kumchamba kule mwanae
HahahahahaImefika mahala nimeacha kabisa kusikiliza hizi redio zetu na vipindi vya TVs. Mtu anayeweza kusema sema hovyo asiyeahirikisha ubongo kwenye ulimi wake ndo wanapewa vipindi kuviendesha.
Halafu......dah
Wapo wamama wanaokubali. Mfano mama yake na Wema SepetuLini umeona Mama akakubali mtoto wake ana shida mbele ya hadhara?
Hakuna mama atakayekubali kumfedhehesha mwanaye hata kama moyoni anajua anastahili fedheha hiyo...
Hakuna mama atakayekubali mwanaye aumie kwa sababu ya maneno aliyoyatoa yeye...
So Anaweza akawa yeye anamshauri sana Kuhusu Tabia zake ila hawezi kuweka hadharani...