Nafikiria kuachana na mke wangu baada ya kunifumania

andazi

Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
63
Reaction score
269
Nafikiria kuachana na mke wangu baada ya yeye kufanikia kuona sms zangu
Ambazo nilikuwa naandikiana na dada poa.

Ananilaumu sana wakati chanzo ni yeye ambaye amekuwa akitumia tendo la ndoa kama njia ya kunidhibiti kihisia.

Na kibaya zaidi mimi kama mwanaume sina haki ya kuomba tendo kwake . Kunipa kwake tendo kumekuwa kugumu mno mpaka ajisikie yeye ndo ananipa tendo.

Hali iyo ilinichosha sana juma pili ya last week alininyima mpaka nilimpigia magoti kama boss wangu ili nipewe nikaona siwezi kujiua nikatafuta namba za madada poa nikapata nikaanza kuchat naye.

Kikawaida nina kuwa na tabia ya ku screen shot sms labda kunaweza kutokea tatizo nikatumia iyo kama njia ya kujiokoa nili screen shot sms hizo kama kawaida yangu nika save ndani ya siku yangu.

Jana mke walichukuwa simu yangu akaanza kupekuwa picha zangu akakutana na picha ya sms hizo akaanza kunifokea uku akilia.

Nimefikiria jambo kuwa uyu mwanamke anaweza kunichiti kama njia ya kulipiza kisasi ni bora ni mmwage mapema sana
 
Nafikiria kuachana na mke wangu baada ya yeye kufanikia kuona sms zangu
Ambazo nilikuwa naandikiana na dada poa.

ANanilaumu sana wakati chanzo ni yeye ambaye amekuwa akitumia tendo la ndoa kama njia ya kunidhibiti kihisia.

Na kibaya zaidi mimi kama mwanaume sina haki ya kuomba tendo kwake . Kunipa kwake tendo kumekuwa kugumu mno mpaka ajisikie yeye ndo ananipa tendo.

HAli iyo ilinichosha sana juma pili ya last week alininyima mpaka nilimpigia magoti kama boss wangu ili nipewe nikaona siwezi kujiua nikatafuta namba za madada poa nikapata nikaanza kuchat naye.

Kisasi atalipa na haitakua kitoto, ila haitakuumiza, tulia kwanza, usimuache, ila kaa stand by
 
1. Kwanza pole Sana, pili nikupe code ambayo wanaume Wengi hatujui,

Mwanamke Ambae sio Malaya Kwa asili yake then huwa na kinyaa Sana

So hawezi kusex na ww akiwa na mwingine nje, so kama alikuwa anakunyima means tayari alikuwa Na mtu wake nje

Kumuacha wife not good idea, coz mpaka uje uheal itakutake miaka mingi Sana

So ongea nae mpe sababu hizi ambazo umeandika hapa

My advice usimuache mke wako nje kugumu sana
 
Absolutely

Sasa Bora asisamehewe na aliemuoa kuliko wa huku duniani, huku ndio atagongewa mpaka na muuza genge
Tatizo lenu huwa hamsemehi mke akicheat mwisho wa siku amuue dada wa watu.
Ukweli ni kwamba bidada lazima aliwe siku si nyingi, na hana ubavu wa kusamehe zaidi ataleta vurugu.
 
Nafikiria kuachana na mke wangu baada ya yeye kufanikia kuona sms zangu
Ambazo nilikuwa naandikiana na dada poa.

ANanilaumu sana wakati chanzo ni yeye ambaye amekuwa akitumia tendo la ndoa kama njia ya kunidhibiti kihisia.

Na kibaya zaidi mimi kama mwanaume sina haki ya kuomba tendo kwake . Kunipa kwake tendo kumekuwa kugumu mno mpaka ajisikie yeye ndo ananipa tendo.

HAli iyo ilinichosha sana juma pili ya last week alininyima mpaka nilimpigia magoti kama boss wangu ili nipewe nikaona siwezi kujiua nikatafuta namba za madada poa nikapata nikaanza kuchat naye.

Kikawaida nina kuwa na tabia ya ku screen shot sms labda kunaweza kutokea tatizo nikatumia iyo kama njia ya kujiokoa nili screen shot sms hizo kama kawaida yangu nika save ndani ya siku yangu.

Jana mke walichukuwa simu yangu akaanza kupekuwa picha zangu akakutana na picha ya sms hizo akaanza kunifokea uku akilia.

Nimefikiria jambo kuwa uyu mwanamke anaweza kunichiti kama njia ya kulipiza kisasi ni bora ni mmwage mapema sana
Unataka kuacha sababu ya sms? Lini mtakua jamani. Ndoa haivunjwi kwa sms
 
Mwanamke hawezi kukunyima uchi wake. Tena mwanamke uliyemuoa.
Kwa sababu, wanawake Wana ashki na hami Kali kuliko Sisi wanaume. Hilo wengi hawalijui.

Pili, mwanamke ukimfurahisha na akawa anakupenda atakupa bila kipimo.

Sababu zinazopelekea unyimwe

1. Akikupa unapiga chini ya kiwango.
Humfikishi kileleni. Na sio mara moja Bali imekuwa ni tabia yako.
So kitendo cha kumuacha mara kwa mara njiani kwake inakuwa kama emotional damage.
Hivyo anaona hakuna haja ya kukupa.

2. Mkeo inaonekana umekuwa ukimkera sana. Humpi furaha.
Mwanamke akishakuwa na stress akawa na huzuni automatically anakosa hamu ya tendo la ndoa.

3. Mwanamke wako huenda anafanya kazi nyingi mpaka anakuwa hoi.
Iko hivi, wanawake hawajaumbwa kufanya kazi za misuli(jasho) za kutumia nguvu.
Kama kazi ni nyingi home hata hamu yake inapungua kama sio kukata kabisa.
Pia mwanamke hata akikupa kama anachoka Sana hata utamu huwezi upata.

Kwa maelezo haya utagundua chanzo ni wewe au yeye.

Mwanamke ukimkojoza vizuri Kila akikumbuka utamu hawezi kukunyima. Hakuna mwenye ujasiri wa kususia utamu wa ngono.

Pili, mrahisishie maisha. Sio makazi mengi na magumu.

Tatu, Mpe Furaha hapa tunazungumzia Affection. Usimpe stress

Kumpa talaka kwa makosa yako ni dalili hauko Sawa kichwani.

Pili, mwambie hukufanya chochote na ulikuwa kama hujielewi. Tunga stori ya kubuni Kali. Lakini usikiri ulikuwa na akili zako timamu.
Kesi kama hizo ndizo za kujifichia kwenye mambo ya ushirikina.

Kamwe usikiri hata ukishikwa red handed

Eleza jinsi unavyompenda
Mpe maneno mazuri
Mponde na msagie kunguni huyo mwanaamke aliyekukuta naye.

Maneno yote eleza kwa hisia na kumaanisha.
 
Nimempatia pia uamuzi wa Mahakama ya Rufani uliotolewa jana kuhusu
 
Ww unafanya hayo yote kwa mke wako?
 
Back
Top Bottom