Nafikiria kuachana na mke wangu baada ya kunifumania

Nafikiria kuachana na mke wangu baada ya kunifumania

Mwanamke hawezi kukunyima uchi wake. Tena mwanamke uliyemuoa.
Kwa sababu, wanawake Wana ashki na hami Kali kuliko Sisi wanaume. Hilo wengi hawalijui.

Pili, mwanamke ukimfurahisha na akawa anakupenda atakupa bila kipimo.

Sababu zinazopelekea unyimwe

1. Akikupa unapiga chini ya kiwango.
Humfikishi kileleni. Na sio mara moja Bali imekuwa ni tabia yako.
So kitendo cha kumuacha mara kwa mara njiani kwake inakuwa kama emotional damage.
Hivyo anaona hakuna haja ya kukupa.

2. Mkeo inaonekana umekuwa ukimkera sana. Humpi furaha.
Mwanamke akishakuwa na stress akawa na huzuni automatically anakosa hamu ya tendo la ndoa.

3. Mwanamke wako huenda anafanya kazi nyingi mpaka anakuwa hoi.
Iko hivi, wanawake hawajaumbwa kufanya kazi za misuli(jasho) za kutumia nguvu.
Kama kazi ni nyingi home hata hamu yake inapungua kama sio kukata kabisa.
Pia mwanamke hata akikupa kama anachoka Sana hata utamu huwezi upata.

Kwa maelezo haya utagundua chanzo ni wewe au yeye.

Mwanamke ukimkojoza vizuri Kila akikumbuka utamu hawezi kukunyima. Hakuna mwenye ujasiri wa kususia utamu wa ngono.

Pili, mrahisishie maisha. Sio makazi mengi na magumu.

Tatu, Mpe Furaha hapa tunazungumzia Affection. Usimpe stress

Kumpa talaka kwa makosa yako ni dalili hauko Sawa kichwani.

Pili, mwambie hukufanya chochote na ulikuwa kama hujielewi. Tunga stori ya kubuni Kali. Lakini usikiri ulikuwa na akili zako timamu.
Kesi kama hizo ndizo za kujifichia kwenye mambo ya ushirikina.

Kamwe usikiri hata ukishikwa red handed

Eleza jinsi unavyompenda
Mpe maneno mazuri
Mponde na msagie kunguni huyo mwanaamke aliyekukuta naye.

Maneno yote eleza kwa hisia na kumaanisha.
Ukioa utasahu maneno haya , usichukulie mwanamke wa kwenye Bongo fleva ndo mwanamke wa ndoa
 
Kesi yako ni ndogo sana
1. Usiite mchungaji, shekhe wala kiongozi yeyote, mchukue mkeo nenda mazingira ya mbali na kwako (out) fanyeni mazungumzo ya faragha na mkeo.
-jishushe, mueleze uhalisia wako.

2. Muombe mkeo msamaha

3. Msamehe mkeo kwa uwazi na kumuondolea kinyongo.

4. Punguza ubize unaokufanya hadi usahau kuwa karibu na mkeo.

5. Ukiwa nyumbani achana na maisha ya kumfokea mkeo, uso wa mbuzi, au kumtolea mkeo maneno ya kumdhihaki na kumshushia hadhi kama mke.

6. Huyo ni mkeo, kuwa muwazi kwake

7. Achana na ushetani wa kuleta mikosi ya malaya kwenye ndoa.

8. Kama kipato kinaruhusu jithidi kumletea zawadi zawadi.

9. Acha kumuwazia mabaya mkeo, acha kutafuta mabaya yake.

10. ikishindkana mkalishane kwa wazazi, jitahd kuwa mpole.
-msije mkajichanganya kwenda ustawi wa jamii, hawa watu sijawahi kuwaamini katika maswala ya ndoa maana na wao ndoa zao zipo mashakani wengne hawajaolewa.

fanya hayo yote kama huyo ni mkeo, kama ni mchepuko au sogea tukae usithubutu maana utakuwa unajilisha upepo.
 
Ndoa.zina changamoto sana asilimia kubwa alikuwa.na jamaa anamfokoa.na.ndio maana.akawa.anAkupa ratiba.ya.mapenzi huyo mwanAmke.alikuwa nakuchiti mda mrefu hayo machozi ni geresha
 
Ndoa.zina changamoto sana asilimia kubwa alikuwa.na jamaa anamfokoa.na.ndio maana.akawa.anAkupa ratiba.ya.mapenzi huyo mwanAmke.alikuwa nakuchiti mda mrefu hayo machozi ni geresha
Sijui niamie chaputa maan nmesikia wao hawajishulishe na mapenz
 
Kosa namba moja kubwa ambalo vijana wengi mnalirudia ni "kuruhusu mkeo ashike sim yako".
Hilo ni kosa kubwa sana ambalo vijana ambao hamjapitia Landon mnalifanya.
Mkeo/mpenzi wako haruhusiwe hata kupokea sim yako, isipokua kwa idhini maalum kutoka kwako..bali he'll....🫤
 
Nafikiria kuachana na mke wangu baada ya yeye kufanikia kuona sms zangu
Ambazo nilikuwa naandikiana na dada poa.

Ananilaumu sana wakati chanzo ni yeye ambaye amekuwa akitumia tendo la ndoa kama njia ya kunidhibiti kihisia.

Na kibaya zaidi mimi kama mwanaume sina haki ya kuomba tendo kwake . Kunipa kwake tendo kumekuwa kugumu mno mpaka ajisikie yeye ndo ananipa tendo.

Hali iyo ilinichosha sana juma pili ya last week alininyima mpaka nilimpigia magoti kama boss wangu ili nipewe nikaona siwezi kujiua nikatafuta namba za madada poa nikapata nikaanza kuchat naye.

Kikawaida nina kuwa na tabia ya ku screen shot sms labda kunaweza kutokea tatizo nikatumia iyo kama njia ya kujiokoa nili screen shot sms hizo kama kawaida yangu nika save ndani ya siku yangu.

Jana mke walichukuwa simu yangu akaanza kupekuwa picha zangu akakutana na picha ya sms hizo akaanza kunifokea uku akilia.

Nimefikiria jambo kuwa uyu mwanamke anaweza kunichiti kama njia ya kulipiza kisasi ni bora ni mmwage mapema sana
Mhh mkuu tuseme tu ukweli… utoto unakusumbua. Samahani kwa lugha ngumu!
 
Mke akikunyima uchi ignore her, yaani unabembeleza mtu kwa ajili ya uchi, sifanyi hilo sio jana, leo wala kesho.

Akikunyima uchi endelea na maisha yako, kama hutaki ila unataka, wanawake wapo wangapi maeneo yako, sio unapoishi, sio kazini, sio kanisani/msikitini, tafuta huko, wapo wengi sana, jitwalie mmoja uwe unapunguza uzito bila shuruti.

Akijirudi ni uamuzi wako, au uendelee na maisha kama kawaida au uendelee kumu-ognore.

Mtu mzima mliyekutana ukubwani hawezi kuichanganya akili yako.
 
Ngoja nyege zikuishe tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom