Nafikiria kuachana na mke wangu baada ya kunifumania

Nafikiria kuachana na mke wangu baada ya kunifumania

Hapo kwenye kumpia magoti kisa unataka nyamuuu, umetufelisha wanaume.
Mke wang alininyima nilipga punyeto mbele yake, goli zito hadi nikadondokea vyombo.

Sikumuomba game had mwez ukakata tunalala dada na kaka, ikabid akanishtak kwa wazaz wang.

Kwa uzoefu wangu my ex-wife alianzaga tabia za kuninyima unyumba, kumbe kuna jamaa lilikua linamkunja nje.

MCHUNGUZE hiz siku akiwa mwenye hasira kama ana mtu lazma akapunguze hasira kwa kumpa yote jamaa wa njee.

mwisho usimwache mkeo, acha aamue yeye na akienda usilazmishe kitakulamba.
yazungumzen wawil, mkishindwa washenga wapo.
 
Utaacha wangapi?

Sio kila mwanamke/mke anayekataa kufanya tendo anasaliti, sometimes wanawake wana mengi kichwani na mioyoni mwao

Pia kitendo cha kwamba ‘amelia’ baada ya kuangalia simu yako kinatoa ujumbe tosha sana kwamba hakutarajia wewe kufanya ulichofanya na kinaleta matumaini

Hata kama una nia ya kuachana naye kwa sababu zako za kubahatisha, usimwache bila kukaa naye chini, na kumweleza yote uliyonayo kichwani, yote uliyoyasema hapa, inawezewekana wewe na yeye mna tatizo la mawasiliano na mkikaa mkaongea kwa uwazi mnaweza kupata mwafaka na mkaendelea na maisha

Usimwache mtu based on assumptions, hakikisha unaachana na mtu ukiwa na sababu za uhakika zenye ushahidi wa uhakika

Mwisho,
Ukome kumpigia magoti mkeo kuomba tendo, huo ni utoto

Kimaumbile hakuna mwanamke anayeweza kuhimili mahitaji ya tendo ya mwanaume, we kaa naye chini mweke sawa na umwambie kwamba usinisababishe uwaze nje wakati yeye yupo, upepo ukitulia endelea na mkeo na nawe jiongeze tafuta mahali uwe unajipooza kimya kimya na uwe unafuta uchafu wako kwenye simu

Utaacha wangapi?
 
Kosa namba moja kubwa ambalo vijana wengi mnalirudia ni "kuruhusu mkeo ashike sim yako".
Hilo ni kosa kubwa sana ambalo vijana ambao hamjapitia Landon mnalifanya.
Mkeo/mpenzi wako haruhusiwe hata kupokea sim yako, isipokua kwa idhini maalum kutoka kwako..bali he'll....🫤
Ila wewe yake unashika??
 
Tatizo lenu huwa hamsemehi mke akicheat mwisho wa siku amuue dada wa watu.
Ukweli ni kwamba bidada lazima aliwe siku si nyingi, na hana ubavu wa kusamehe zaidi ataleta vurugu.


Mpaka hapo bidada analiwa sasa shida ya wanawake akiliwa nje ndani kwa mume hatoi, sasa kama wa huko nje ni mtamu why avunji ndoa akaenda huko huko?

Mwanaume anatoa kote, nje na ndani na kama hela ya matumizi kote anaacha
 
Na wewe ukakiri kosa?🤔

Enewei,

Pendekezo la busara kabla ya kuvunja ndoa, Jaribu hatua hizi kwanza:

1. Zungumza naye kwa utulivu, si kwa kujitetea bali kueleza hali yako
mfano: “Nimekosea kwa hizo SMS, lakini pia ninaumia sana na jinsi mambo ya tendo yalivyo kwenye ndoa yetu”

2. Kubali kosa lako wazi bila visingizio
Hii itapunguza moto wake
Eleza mipaka na mahitaji yako.

3. Haupaswi kujinyenyekeza kama ombaomba kwenye ndoa yako
Kama inawezekana, tafuteni ushauri (counseling)
Mara nyingi mtu wa tatu husaidia kufungua mazungumzo.
 
Na wewe ukakiri kosa?🤔

Enewei,

Pendekezo la busara kabla ya kuvunja ndoa, Jaribu hatua hizi kwanza:

1. Zungumza naye kwa utulivu, si kwa kujitetea bali kueleza hali yako
mfano: “Nimekosea kwa hizo SMS, lakini pia ninaumia sana na jinsi mambo ya tendo yalivyo kwenye ndoa yetu”

2. Kubali kosa lako wazi bila visingizio
Hii itapunguza moto wake
Eleza mipaka na mahitaji yako.

3. Haupaswi kujinyenyekeza kama ombaomba kwenye ndoa yako
Kama inawezekana, tafuteni ushauri (counseling)
Mara nyingi mtu wa tatu husaidia kufungua mazungumzo.
Nitaongea nini na mtu ambaye tayari ananionyesha tabia ya kuwa yupo tayari kwa chochote
 
Nitaongea nini na mtu ambaye tayari ananionyesha tabia ya kuwa yupo tayari kwa chochote
We ulitaka akuchekee kwa ulichokifanya?
Nakuuliza wewe sasa, unataka kuondoka kwa sababu umechoka kabisa na ndoa hii, au kwa sababu hali ya sasa imekuwa nzito tu?
 
Mkuu andazi nikuambie tu andazi la mkeo linaliwa balaah!Na wewe ulivyo andazi hushtuki!!!
20260411_183517.jpg
 
Wanawake wengi hawapendi kutoa unyumba kwenye ndoa lakn michepuko unapewa kilasiku mpaka unachoka ww
 
Upo siku atakulipa tuu huyo mwanamke, atakupiga tukio tuu la kukukomoa. Kuna msela mmoja kitaani, alifumaniwa, mke akalalamika akatulia.
Pakapita pita, siku moja amelala mke akachemsha maji kwenye birika la umeme, jamaa akamwagiwa.
Mpaka leo mkali ni mlemavu.
 
Back
Top Bottom