We nae , as much as i can admit i hate cheating……. lakini nakwambia cheating kwa Africa yetu haivunji mahusiano/ndoa, neglect ndio inayovunja mahusiano/ndoa.
Wanaume wengi wakitoka kucheat huwa wanarudi nyumbani kwa bashasha, na vizawadi zawadi na wanawapeti peti wake zao. Inakuwa ngumu mke kugundua na hata akigundua mnaweza kuyamaliza….
Ila ukiona unamcheat mkeo na unarudi home you acts cold , bora umuache mapema maana ni wazi haumuhitaji hata kidogo.