Nafikiria kuachana na mke wangu baada ya kunifumania

Ukioa utasahu maneno haya , usichukulie mwanamke wa kwenye Bongo fleva ndo mwanamke wa ndoa
 
Ww unafanya hayo yote kwa mke wako?
Nimemwambia asichukuwe mwanamke wa bongo fleva kumleta ndani ya ndoa
Mwanamke hajawahi kuwa na kizuri kwake bali utembea tu na hisia zake sio kwamba ukimrizisha au kumfikisha kileleni ndo atakupenda sana .inawezekana ila akumbuke kunakuchokana pia
 
Ukioa utasahu maneno haya , usichukulie mwanamke wa kwenye Bongo fleva ndo mwanamke wa ndoa

Nikioa mke wangapi Sheikhe!

Nina wake wawili, watoto wanne.
Nipo ndoani mwaka wa 10 sasa.
Mke wa pili nipo naye huu mwaka tunaingia wanne.
 
Kesi yako ni ndogo sana
1. Usiite mchungaji, shekhe wala kiongozi yeyote, mchukue mkeo nenda mazingira ya mbali na kwako (out) fanyeni mazungumzo ya faragha na mkeo.
-jishushe, mueleze uhalisia wako.

2. Muombe mkeo msamaha

3. Msamehe mkeo kwa uwazi na kumuondolea kinyongo.

4. Punguza ubize unaokufanya hadi usahau kuwa karibu na mkeo.

5. Ukiwa nyumbani achana na maisha ya kumfokea mkeo, uso wa mbuzi, au kumtolea mkeo maneno ya kumdhihaki na kumshushia hadhi kama mke.

6. Huyo ni mkeo, kuwa muwazi kwake

7. Achana na ushetani wa kuleta mikosi ya malaya kwenye ndoa.

8. Kama kipato kinaruhusu jithidi kumletea zawadi zawadi.

9. Acha kumuwazia mabaya mkeo, acha kutafuta mabaya yake.

10. ikishindkana mkalishane kwa wazazi, jitahd kuwa mpole.
-msije mkajichanganya kwenda ustawi wa jamii, hawa watu sijawahi kuwaamini katika maswala ya ndoa maana na wao ndoa zao zipo mashakani wengne hawajaolewa.

fanya hayo yote kama huyo ni mkeo, kama ni mchepuko au sogea tukae usithubutu maana utakuwa unajilisha upepo.
 
Ndoa.zina changamoto sana asilimia kubwa alikuwa.na jamaa anamfokoa.na.ndio maana.akawa.anAkupa ratiba.ya.mapenzi huyo mwanAmke.alikuwa nakuchiti mda mrefu hayo machozi ni geresha
 
Ndoa.zina changamoto sana asilimia kubwa alikuwa.na jamaa anamfokoa.na.ndio maana.akawa.anAkupa ratiba.ya.mapenzi huyo mwanAmke.alikuwa nakuchiti mda mrefu hayo machozi ni geresha
Sijui niamie chaputa maan nmesikia wao hawajishulishe na mapenz
 
Kosa namba moja kubwa ambalo vijana wengi mnalirudia ni "kuruhusu mkeo ashike sim yako".
Hilo ni kosa kubwa sana ambalo vijana ambao hamjapitia Landon mnalifanya.
Mkeo/mpenzi wako haruhusiwe hata kupokea sim yako, isipokua kwa idhini maalum kutoka kwako..bali he'll....🫤
 
Na ukitaka ndoa yako iwe kwenye shida then Fata ushauri wa wanasaikologia au motivation speaker

Huo ni mtazamo wako ambao nafikiri ukiambiwa uutolee hoja zenye kueleweka kama utaweza kuzitoa hata hoja tatu kuu zenye kueleweka
 
Mhh mkuu tuseme tu ukweli… utoto unakusumbua. Samahani kwa lugha ngumu!
 
Mke akikunyima uchi ignore her, yaani unabembeleza mtu kwa ajili ya uchi, sifanyi hilo sio jana, leo wala kesho.

Akikunyima uchi endelea na maisha yako, kama hutaki ila unataka, wanawake wapo wangapi maeneo yako, sio unapoishi, sio kazini, sio kanisani/msikitini, tafuta huko, wapo wengi sana, jitwalie mmoja uwe unapunguza uzito bila shuruti.

Akijirudi ni uamuzi wako, au uendelee na maisha kama kawaida au uendelee kumu-ognore.

Mtu mzima mliyekutana ukubwani hawezi kuichanganya akili yako.
 
Ngoja nyege zikuishe tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…