We nae , as much as i can admit i hate cheatingβ¦β¦. lakini nakwambia cheating kwa Africa yetu haivunji mahusiano/ndoa, neglect ndio inayovunja mahusiano/ndoa.
Wanaume wengi wakitoka kucheat huwa wanarudi nyumbani kwa bashasha, na vizawadi zawadi na wanawapeti peti wake zao. Inakuwa ngumu mke kugundua na hata akigundua mnaweza kuyamalizaβ¦.
Ila ukiona unamcheat mkeo na unarudi home you acts cold , bora umuache mapema maana ni wazi haumuhitaji hata kidogo.