TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Swala ili lipo kisheria au?Utaambiwa unataka kuingilia utendaji wa jeshi la polisi, pia unaweza kusababisha taharuki pale ambapo uchunguzi wako utatofautiana na wa polisi kwa kuleta mgongano kwenye vichwa vya raia.
Kuna sheria inakataza?Kwa nchi za Africa ni ngumu kulikubali wazo hili maana serikali za uongo ndio zinaongoza nchi na viongozi wote karibia ni matapeli na hawapendi kusikia ukweli.
Hivyo wazo hili halitapata nafasi na unaweza kufunguliwa mashtaka kwa kupeleka wazo tu
πππunataka kufungwa kampuni zakulinda ndo tunaruhusu sio upelelezi
Wezunu huko ndotunapatia fedha za ujenzi nyumba
Ukitaka tumpeleleza mke wako kama anachepuka na nani kampuni inapga kazi na kukuletea ushaidi usiona mashakaπππKupeleleza wake na waume za watu au kumpeleleza nani?
Nafikiri inawezekana. Kuna moja ilikuwepo zamani Dar, pale opposite askari monument baada ya jengo la NBC.Mawazo mazuri ila sina uhakika km taratibu za usalama wa nchi yetu zinaruhusu.
Walikuwa wanafanya majukumu yapi hasa?Nafikiri inawezekana. Kuna moja ilikuwepo zamani Dar, pale opposite askari monument baada ya jengo la NBC.
Kasome sheria yake usalama wa Taifa ya 1996 na kanuni zake.Mawazo mazuri ila sina uhakika km taratibu za usalama wa nchi yetu zinaruhusu.