Nafikiria kuanzisha kampuni binafsi ya upelelezi, je hii inawezekana kwa hapa Tanzania?

Nafikiria kuanzisha kampuni binafsi ya upelelezi, je hii inawezekana kwa hapa Tanzania?

Habari wadau..!

Nimekuwa nikawaza mda mrefu kufungua kampuni binafsi ya kufanya upelelezi na kutoa ulinzi wa VIP's yaani wale watu maarufu na familia zao kama Mo-Dewji ,Diamond n.k

Kampuni yangu pia itahusika katika kufanya upelelezi kwa watu binafsi na serikali na kukabidhi repoti kwa wateja wangu.

Mfano hivi karibuni kwenye suala la Hamza,kuungua kwa Soko na mambo mengine mengi ambayo Serikali imekuwa ikiangaika kuunda tume za kuchunguza ambazo zinaonyesha zinachelewa kutoa majibu kwa wakati Serikali inaweza kuipa kazi kampuni na kushughulikia suala hilo fasta na kutoa majibu.

Wasiwasi : Je ili suala linawezekana kwa hapa Tanzania??
Sizani Kama Serekali inaweza kukuruhusu Upeleleze kesi za Jinai, maana vitendea kazi vya Upelelezi wa Makosa ya Jinai vingi viko Serekalini!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Habari wadau..!

Nimekuwa nikawaza mda mrefu kufungua kampuni binafsi ya kufanya upelelezi na kutoa ulinzi wa VIP's yaani wale watu maarufu na familia zao kama Mo-Dewji ,Diamond n.k

Kampuni yangu pia itahusika katika kufanya upelelezi kwa watu binafsi na serikali na kukabidhi repoti kwa wateja wangu.

Mfano hivi karibuni kwenye suala la Hamza,kuungua kwa Soko na mambo mengine mengi ambayo Serikali imekuwa ikiangaika kuunda tume za kuchunguza ambazo zinaonyesha zinachelewa kutoa majibu kwa wakati Serikali inaweza kuipa kazi kampuni na kushughulikia suala hilo fasta na kutoa majibu.

Wasiwasi : Je ili suala linawezekana kwa hapa Tanzania??
Ni wazo zuri.. ila utatekwa upesi ili usifichue "siri" za watawala
 
Kupeleleza wake na waume za watu au kumpeleleza nani?
kuisaidia gvt na UMMA, to detect mambo mbali bali na kuyazuia uhalifu, uingiza madawa yakulevya kupitia bunju kinondoni,.... Haya serikali haiyaoni kabisa ila kila akiteuliwa mmoja basi lazima tusikie tukio kubwa la ukamataji ila siku mbili tu anaaza kushinda muhimbili na askari magereza eti mgonjwa na mabunduki mengi, lakini baada ya kupata matibabu wanaaza mara kwenda chooni mara apartment fulani hivi

Kuna siku nimesikia askri magereza anamwambia jamaa njoo huku haraka tuna dakika 20 tu tuzungumze tuondoke

nilicheka nilicheka balaa
 
Walikuwa wanafanya majukumu yapi hasa??
Sijui ila walibandika bango kuwa ni Private Investigators.

Ukianzisha utapata wateja. Mfano matukio mengi ya uhalifu kama wizi polisi hawasumbuki kuchukua fingerprints. Sasa wewe ukiweza kufanya hivyo, na ukapewa access ya database ya fingerprints hapa tz (kila mwenye NIDA amechukuliwa fingerprints) uta solve crimes nyingi bila ya kuchukua muda na utapata wateja wengi.

Nilishakuwa na wazo hili baada ya wezi kuniibia.
 
Unaweza kusababisha mgongano wa kimaslahi baina yako na serikali,lakini kwa mujibu wa katiba yetu (kasome vizuri kwenye usimamizi wa ulinzi wa raia na nchi kwa ujumla)hairuhusu taasisi tofauti na zilizotajwa ndani ya katiba kufanya hayo unayotaka,ni wazo zuri kwenye eneo marufuku pia sheria ya TISS hairuhusu hiki unachotaka kukifanya.
 
Sheria namba ngapi ya usalama wa Taifa??
 
Mzee hawatakukubalia kutakua na mgongano wa maslahi kati yako na dola ambao wana inteligensia ya hali ya juu ya kuningia hata kwenye ubongo wa m Tz wakafahamu anahisi nini [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Utaambiwa unataka kuingilia utendaji wa jeshi la polisi, pia unaweza kusababisha taharuki pale ambapo uchunguzi wako utatofautiana na wa polisi kwa kuleta mgongano kwenye vichwa vya raia.
Lakini hii mteja ndio anakuja mwenyewe kuomba huduma sio kwamba kampuni itaingilia kesi ambazo tyr zipo polisi,mfano tajiri katekwa mara nyingi watekaji hawataki polisi kuuhusishwa hapa kampuni inaweza tumika,au kesi yeyote ambayo haipo polisi au km unataka kujua kuhusu maisha ya mtu fulani n.k
 
Back
Top Bottom