mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
AnatuhukumuHebu ona aibu hata kidogo kwa kutusingizia mambo mazito hivi!! Yaani tunavyoongoza kwa uaminifu haitoshi umeamua utuchafue[emoji2297][emoji2297][emoji2297] ni huzuni kwakweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AnatuhukumuHebu ona aibu hata kidogo kwa kutusingizia mambo mazito hivi!! Yaani tunavyoongoza kwa uaminifu haitoshi umeamua utuchafue[emoji2297][emoji2297][emoji2297] ni huzuni kwakweli.
Akili yenu si kuhongwa pesa😂 sasa hayo mapenzi au biashara! Hao mababu wanahonga vilaki laki ndio wanawake tulio nao sikuhizi. Completely useless!!!Wengi hawajui ndiyo maana vibabu vinamiliki wadada warembo
Siku hizi wanawake wanaenda sambamba, mwanaume kama hatulii mke akijua tu niwachache wanaovumilia waenda pamojaNdivyo tumeumbiwa na nani? Pale Eden si waliumbwa wawili wawili au version yako inasema tofauti? Sasa kama tunaamua kubadilisha mwenendo basi msione taabu nasi kuwa nao wengi. Ukinivuruga anakuwepo wa kunifariji, namna hiyo mambo yakakuwa bien kabisa.
Hahahha na vibabu ndani! Acheni njaa mapenzi yanoge kama zamani! Mnatupa ugumu sana kuwa waaminifu😅Hebu ona aibu hata kidogo kwa kutusingizia mambo mazito hivi!! Yaani tunavyoongoza kwa uaminifu haitoshi umeamua utuchafue[emoji2297][emoji2297][emoji2297] ni huzuni kwakweli.
Sasa umeelezea akili halafu unakataa hakuna akili[emoji2297][emoji2297][emoji2297] hiyo ndio akili sasa, ushajua kinachompa hamasa then do it sio kulia lia.Sio kwa mwanamke kama wa mtoa mada halafu ukishaelewa kuwa mapenzi hayahusiani na hizo akili kabisa ndio utashangaa!
Stimulus za mapenzi ni vitu vingi, wewe unaependa hela ukiingiliwa kwa gia ya pesa ndio utaona fahari ya mapenzi.
Mwengine anapenda mvuto wa kijana akifatwa na kijana barobaro smart anaweza kuinjoy mno na kutamani kila muda awe na mahabuba wake.
Mwengine anapenda status ya mtu na vyote ambavyo viko associated na hilo. Akitokewa na star anapgawa na mda wote anafurahia kupelekewa moto.
This is how sex & love works...hamna mambo ya akili wala blah blah!
Sasa umeona ilivyo kazi! Wacha kazi iendelee wanawake waaminifu ni 2% ya population ya wanawake wa mjini! The rest are GoldiggersSiku hizi wanawake wanaenda sambamba, mwanaume kama hatulii mke alijua niwachache wanaovumilia waenda pamoja
Tuucheze hadi mwisho tuone itakuwajeAaah wanajikutaga malaika yaani, sie tunacheza muziki wanaopiga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa asipojitutumua mtajuaje nae ni mwanaume!!
Huh!! Unaona sasa shida ilipo!! Kwa vibabu tunafuata mahaba its just a coincidence kwamba wako na pesa hapo inakuwa boooom bonus[emoji12]Akili yenu si kuhongwa pesa[emoji23] sasa hayo mapenzi au biashara! Hao mababu wanahonga vilaki laki ndio wanawake tulio nao sikuhizi. Completely useless!!!
Sasa unategemeaje uaminifu kwa mtu mwenye njaa njaa? Kuna sababu ya kustay faithful hapo?
Nimekuelezea uhalisia, hizo akili unazoesemea wewe kuwa mtoa mada hana Inashangaza!Sasa umeelezea akili halafu unakataa hakuna akili[emoji2297][emoji2297][emoji2297] hiyo ndio akili sasa, ushajua kinachompa hamasa then do it sio kulia lia.
Vinajua wajibu wakuitwa mme unakuta 58-30/28 daa jamani parefuHeshima kwa vibabu kwakweli[emoji1787]
Sasa why ukahangaike kwa mwamposa wakati na wa mwamposa nae anahangaika huko kivyake!! Wewe tafuta tulizo la moyo then tulia lea watoto wako taratiiiiibu bila kelele wala mbwembwe.Siku hizi wanawake wanaenda sambamba, mwanaume kama hatulii mke alijua niwachache wanaovumilia waenda pamoja
Bora umejua tatizo ni mwanamke mwenzenu😅Pole Sana kwa yaliyokufika mkuu, lakini hapa tatizo linaonekana Ni la muda mrefu. Ukweli ulio uchi Ni kwamba huyu mwanamke hakupendi na hakuwahi kukupenda Bali alikuja kwako kwa ushawishi hasa wa uchumi wako.
Mimi Ni mwanamke nazijua tabia zetu vizuri mwanamke akimpenda mwanaume hatokua na uwezo wa kumjibu jeuri au kumdharilisha hata kwa bahati mbaya, atamheshim kwa pande zote hata akiishiwa majirani hawatojua.
Ondoka Ila mahitaji kwa mtoto hakikisha yanapatikana, usimpige maana mwanamke asiekupenda ukimpiga anaweza akakutafutia Jambo la kukuharibia muelekeo wa maisha kabisaaa. Ukipata pesa oa Moe mwingine mwenye akili timamu.
Tulizo la moyo halina hela kmmmk hapo show show😅Sasa why ukahangaike kwa mwamposa wakati na wa mwamposa nae anahangaika huko kivyake!! Wewe tafuta tulizo la moyo then tulia lea watoto wako taratiiiiibu bila kelele wala mbwembwe.
Mapenzi ya dhati tunayo teleeee, ni vile tu nyie hamjiamini na mshajikatia tamaa jumlisha kukosa akili mnahisi ni pesa zenu tunapenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahha na vibabu ndani! Acheni njaa mapenzi yanoge kama zamani! Mnatupa ugumu sana kuwa waaminifu[emoji28]
Acheni huo utoto! We mwanamke mzuri umependwa tulia kazi kuchat na kina feysal tu! Kenge wewe[emoji23][emoji23][emoji23]wanakuwa ma ankali zetu[emoji23]
Wenzio wanasevu hivi...namba zenye majina yakike ni wahuni wenyewe[emoji23]
Hapana ni 98% hiyo mbili ndio inatuharibia CV[emoji1787]Sasa umeona ilivyo kazi! Wacha kazi iendelee wanawake waaminifu ni 2% ya population ya wanawake wa mjini! The rest are Goldiggers
[emoji23][emoji23]naona umegongelea hapo kwenye kutoa unyumba[emoji41]Nimekuelezea uhalisia, hizo akili unazoesemea wewe kuwa mtoa mada hana Inashangaza!
Mwanamke kiburi sasa unamfanyaje mwanamke kiburi ambaye kutoa unyumba hataki na unamlisha na kumvesha!?