Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Ndivyo tumeumbiwa na nani? Pale Eden si waliumbwa wawili wawili au version yako inasema tofauti? Sasa kama tunaamua kubadilisha mwenendo basi msione taabu nasi kuwa nao wengi. Ukinivuruga anakuwepo wa kunifariji, namna hiyo mambo yakakuwa bien kabisa.
Siku hizi wanawake wanaenda sambamba, mwanaume kama hatulii mke akijua tu niwachache wanaovumilia waenda pamoja
 
Hebu ona aibu hata kidogo kwa kutusingizia mambo mazito hivi!! Yaani tunavyoongoza kwa uaminifu haitoshi umeamua utuchafue[emoji2297][emoji2297][emoji2297] ni huzuni kwakweli.
Hahahha na vibabu ndani! Acheni njaa mapenzi yanoge kama zamani! Mnatupa ugumu sana kuwa waaminifu😅
 
Sio kwa mwanamke kama wa mtoa mada halafu ukishaelewa kuwa mapenzi hayahusiani na hizo akili kabisa ndio utashangaa!

Stimulus za mapenzi ni vitu vingi, wewe unaependa hela ukiingiliwa kwa gia ya pesa ndio utaona fahari ya mapenzi.

Mwengine anapenda mvuto wa kijana akifatwa na kijana barobaro smart anaweza kuinjoy mno na kutamani kila muda awe na mahabuba wake.

Mwengine anapenda status ya mtu na vyote ambavyo viko associated na hilo. Akitokewa na star anapgawa na mda wote anafurahia kupelekewa moto.

This is how sex & love works...hamna mambo ya akili wala blah blah!
Sasa umeelezea akili halafu unakataa hakuna akili[emoji2297][emoji2297][emoji2297] hiyo ndio akili sasa, ushajua kinachompa hamasa then do it sio kulia lia.
 
Akili yenu si kuhongwa pesa[emoji23] sasa hayo mapenzi au biashara! Hao mababu wanahonga vilaki laki ndio wanawake tulio nao sikuhizi. Completely useless!!!

Sasa unategemeaje uaminifu kwa mtu mwenye njaa njaa? Kuna sababu ya kustay faithful hapo?
Huh!! Unaona sasa shida ilipo!! Kwa vibabu tunafuata mahaba its just a coincidence kwamba wako na pesa hapo inakuwa boooom bonus[emoji12]
 
Sasa umeelezea akili halafu unakataa hakuna akili[emoji2297][emoji2297][emoji2297] hiyo ndio akili sasa, ushajua kinachompa hamasa then do it sio kulia lia.
Nimekuelezea uhalisia, hizo akili unazoesemea wewe kuwa mtoa mada hana Inashangaza!

Mwanamke kiburi sasa unamfanyaje mwanamke kiburi ambaye kutoa unyumba hataki na unamlisha na kumvesha!?
 
Pole Sana kwa yaliyokufika mkuu, lakini hapa tatizo linaonekana Ni la muda mrefu. Ukweli ulio uchi Ni kwamba huyu mwanamke hakupendi na hakuwahi kukupenda Bali alikuja kwako kwa ushawishi hasa wa uchumi wako.

Mimi Ni mwanamke nazijua tabia zetu vizuri mwanamke akimpenda mwanaume hatokua na uwezo wa kumjibu jeuri au kumdharilisha hata kwa bahati mbaya, atamheshim kwa pande zote hata akiishiwa majirani hawatojua.

Ondoka Ila mahitaji kwa mtoto hakikisha yanapatikana, usimpige maana mwanamke asiekupenda ukimpiga anaweza akakutafutia Jambo la kukuharibia muelekeo wa maisha kabisaaa. Ukipata pesa oa Moe mwingine mwenye akili timamu.
 
Siku hizi wanawake wanaenda sambamba, mwanaume kama hatulii mke alijua niwachache wanaovumilia waenda pamoja
Sasa why ukahangaike kwa mwamposa wakati na wa mwamposa nae anahangaika huko kivyake!! Wewe tafuta tulizo la moyo then tulia lea watoto wako taratiiiiibu bila kelele wala mbwembwe.
 
Pole Sana kwa yaliyokufika mkuu, lakini hapa tatizo linaonekana Ni la muda mrefu. Ukweli ulio uchi Ni kwamba huyu mwanamke hakupendi na hakuwahi kukupenda Bali alikuja kwako kwa ushawishi hasa wa uchumi wako.

Mimi Ni mwanamke nazijua tabia zetu vizuri mwanamke akimpenda mwanaume hatokua na uwezo wa kumjibu jeuri au kumdharilisha hata kwa bahati mbaya, atamheshim kwa pande zote hata akiishiwa majirani hawatojua.

Ondoka Ila mahitaji kwa mtoto hakikisha yanapatikana, usimpige maana mwanamke asiekupenda ukimpiga anaweza akakutafutia Jambo la kukuharibia muelekeo wa maisha kabisaaa. Ukipata pesa oa Moe mwingine mwenye akili timamu.
Bora umejua tatizo ni mwanamke mwenzenu😅
 
Sasa umeona ilivyo kazi! Wacha kazi iendelee wanawake waaminifu ni 2% ya population ya wanawake wa mjini! The rest are Goldiggers
Hapana ni 98% hiyo mbili ndio inatuharibia CV[emoji1787]
 
Back
Top Bottom