Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Siku hizi wanawake wanaenda sambamba, mwanaume kama hatulii mke akijua tu niwachache wanaovumilia waenda pamoja
 
Hebu ona aibu hata kidogo kwa kutusingizia mambo mazito hivi!! Yaani tunavyoongoza kwa uaminifu haitoshi umeamua utuchafue[emoji2297][emoji2297][emoji2297] ni huzuni kwakweli.
Hahahha na vibabu ndani! Acheni njaa mapenzi yanoge kama zamani! Mnatupa ugumu sana kuwa waaminifuπŸ˜…
 
Sasa umeelezea akili halafu unakataa hakuna akili[emoji2297][emoji2297][emoji2297] hiyo ndio akili sasa, ushajua kinachompa hamasa then do it sio kulia lia.
 
Akili yenu si kuhongwa pesa[emoji23] sasa hayo mapenzi au biashara! Hao mababu wanahonga vilaki laki ndio wanawake tulio nao sikuhizi. Completely useless!!!

Sasa unategemeaje uaminifu kwa mtu mwenye njaa njaa? Kuna sababu ya kustay faithful hapo?
Huh!! Unaona sasa shida ilipo!! Kwa vibabu tunafuata mahaba its just a coincidence kwamba wako na pesa hapo inakuwa boooom bonus[emoji12]
 
Sasa umeelezea akili halafu unakataa hakuna akili[emoji2297][emoji2297][emoji2297] hiyo ndio akili sasa, ushajua kinachompa hamasa then do it sio kulia lia.
Nimekuelezea uhalisia, hizo akili unazoesemea wewe kuwa mtoa mada hana Inashangaza!

Mwanamke kiburi sasa unamfanyaje mwanamke kiburi ambaye kutoa unyumba hataki na unamlisha na kumvesha!?
 
Pole Sana kwa yaliyokufika mkuu, lakini hapa tatizo linaonekana Ni la muda mrefu. Ukweli ulio uchi Ni kwamba huyu mwanamke hakupendi na hakuwahi kukupenda Bali alikuja kwako kwa ushawishi hasa wa uchumi wako.

Mimi Ni mwanamke nazijua tabia zetu vizuri mwanamke akimpenda mwanaume hatokua na uwezo wa kumjibu jeuri au kumdharilisha hata kwa bahati mbaya, atamheshim kwa pande zote hata akiishiwa majirani hawatojua.

Ondoka Ila mahitaji kwa mtoto hakikisha yanapatikana, usimpige maana mwanamke asiekupenda ukimpiga anaweza akakutafutia Jambo la kukuharibia muelekeo wa maisha kabisaaa. Ukipata pesa oa Moe mwingine mwenye akili timamu.
 
Siku hizi wanawake wanaenda sambamba, mwanaume kama hatulii mke alijua niwachache wanaovumilia waenda pamoja
Sasa why ukahangaike kwa mwamposa wakati na wa mwamposa nae anahangaika huko kivyake!! Wewe tafuta tulizo la moyo then tulia lea watoto wako taratiiiiibu bila kelele wala mbwembwe.
 
Bora umejua tatizo ni mwanamke mwenzenuπŸ˜…
 
Hahahha na vibabu ndani! Acheni njaa mapenzi yanoge kama zamani! Mnatupa ugumu sana kuwa waaminifu[emoji28]
Mapenzi ya dhati tunayo teleeee, ni vile tu nyie hamjiamini na mshajikatia tamaa jumlisha kukosa akili mnahisi ni pesa zenu tunapenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa umeona ilivyo kazi! Wacha kazi iendelee wanawake waaminifu ni 2% ya population ya wanawake wa mjini! The rest are Goldiggers
Hapana ni 98% hiyo mbili ndio inatuharibia CV[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…