Yaani kama wakati anazo tulikuwa tunatumbua wote wala siwezi mfanyia hiyana na itakuwa siri yetu tupambane tutoke tena, mie sio mgumu kuelewa unajua ndugu msomaji kuna ile Mme pesa ipo mke anafanywa kijakazi piga picha pesa ikate mke anampokea vipi mmewe, mifano ipo mingi sana.Miezi miwili ni sababu mume kafukuzwa kazi hela ya bata hakuna[emoji28] mbona unakaza fuvu ndugu msomaji! Sasa jiulize bwana wako akikosa hela ya anasa ikabaki hela ya matumizi ya muhimu tu je una haki ya kumuanzishia kiburi na kuanza kutafta bahasha nje ya mahusiano yenu?
Njoo nkupe mbegu basi maana mie ni mbam bad kwa mbaliOooh!! Tupe connection basi maana nyie wabongo ni korona toleo jipya.
Hahahahhaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahah utakuwa balozi mzuri😅Nirudi kwetu na mbavu mbili[emoji23]
Si unaona sasa!! Mambo madogo kama hayo ndio yanayofanya tukufe na tuoze kabisa kwenu, ila hamtaki. Sasa na pesa pia hamtaki kutoa halafu tukimute mnatulaumu!! Nyie viumbe ni wagumuuuu[emoji2297][emoji2297]Me nioshe vyombo? Mniue tu[emoji23] yani hapo ni vita kuu ya 3 ya dunia hata Karma anaelewa
Hapo mtaenda sawa sasa mwenzio bata kala halafu kamtosa mwamba kipindi cha kiangazi! Huu ndio uhuni aliokuwa anausemea pole pole😂Yaani kama wakati anazo tulikuwa tunatumbua wote wala siwezi mfanyia hiyana na itakuwa siri yetu tupambane tutoke tena, mie sio mgumu kuelewa unajua ndugu msomaji kuna ile Mme pesa ipo mke anafanywa kijakazi piga picha pesa ikate mke anampokea vipi mmewe, mifano ipo mingi sana.
Sasa si tunawasaidia kutafuna! Kizuri kula na mwenzio mupenzi [emoji3]Hahahahahah mnafukuzia pensheni kijanja[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aah hii mbegu si hiyo mimba inaweza nitoa roho!!Njoo nkupe mbegu basi maana mie ni mbam bad kwa mbali
Kama ukiwa genuine in love hata deki ntakusaidia ila ukiwa tapeli mwendo mchubuyu tu!😂😂😂Si unaona sasa!! Mambo madogo kama hayo ndio yanayofanya tukufe na tuoze kabisa kwenu, ila hamtaki. Sasa na pesa pia hamtaki kutoa halafu tukimute mnatulaumu!! Nyie viumbe ni wagumuuuu[emoji2297][emoji2297]
KmmaeeeHuyo nae hana lolote,anapigwagwa na mkewe[emoji23]
Trend imekuwa balaa sahizi wadada wa mjini utaskia binti ana miaka 27 wakati mstaafu awamu ya mkapa ana miaka 75Sasa si tunawasaidia kutafuna! Kizuri kula na mwenzio mupenzi [emoji3]
Ndio maana nilisema hii story ya upande mmoja kutaka kuonewa huruma. Ukute mwanamke mwenzetu huko nae anayo mengi kuliko baharia. We unadhani hadi kufikia kumpeleka polisi mume mchezo!!!Hapo mtaenda sawa sasa mwenzio bata kala halafu kamtosa mwamba kipindi cha kiangazi! Huu ndio uhuni aliokuwa anausemea pole pole[emoji23]
Mimba sio korofi kabisa mbona😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aah hii mbegu si hiyo mimba inaweza nitoa roho!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Trend imekuwa balaa sahizi wadada wa mjini utaskia binti ana miaka 27 wakati mstaafu awamu ya mkapa ana miaka 75
Mwanamke mpalestina tabia zao zinaeleweka😅Ndio maana nilisema hii story ya upande mmoja kutaka kuonewa huruma. Ukute mwanamke mwenzetu huko nae anayo mengi kuliko baharia. We unadhani hadi kufikia kumpeleka polisi mume mchezo!!!
Sasa wewe akili ushaivuruga kuwa hatuna genuine love unategemea hata ukipendwa utaona? Utaona unaigiziwa tu uliwe pesa zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ukiwa genuine in love hata deki ntakusaidia ila ukiwa tapeli mwendo mchubuyu tu![emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona eee kuna mmoja alikuwa akilalamika ana ambiwa si unakula akimwambia na mie nilizaliwa anamwambia kaka zako wapo mie sijaoa ukoo piga picha huyo Baba afurie halafu mke genge lake limewin kibano chake mwanaume lazima aisome nambaWakizishika huwa wana viburi hatari, wanazitumia hukooo halafu wakiishiwa ndio wanajirudi eti tuwaheshimu!! Malipo ni here here[emoji1787][emoji1787]