Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Yaani kama wakati anazo tulikuwa tunatumbua wote wala siwezi mfanyia hiyana na itakuwa siri yetu tupambane tutoke tena, mie sio mgumu kuelewa unajua ndugu msomaji kuna ile Mme pesa ipo mke anafanywa kijakazi piga picha pesa ikate mke anampokea vipi mmewe, mifano ipo mingi sana.Miezi miwili ni sababu mume kafukuzwa kazi hela ya bata hakuna[emoji28] mbona unakaza fuvu ndugu msomaji! Sasa jiulize bwana wako akikosa hela ya anasa ikabaki hela ya matumizi ya muhimu tu je una haki ya kumuanzishia kiburi na kuanza kutafta bahasha nje ya mahusiano yenu?