Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Miezi miwili ni sababu mume kafukuzwa kazi hela ya bata hakuna[emoji28] mbona unakaza fuvu ndugu msomaji! Sasa jiulize bwana wako akikosa hela ya anasa ikabaki hela ya matumizi ya muhimu tu je una haki ya kumuanzishia kiburi na kuanza kutafta bahasha nje ya mahusiano yenu?
Yaani kama wakati anazo tulikuwa tunatumbua wote wala siwezi mfanyia hiyana na itakuwa siri yetu tupambane tutoke tena, mie sio mgumu kuelewa unajua ndugu msomaji kuna ile Mme pesa ipo mke anafanywa kijakazi piga picha pesa ikate mke anampokea vipi mmewe, mifano ipo mingi sana.
 
Hapo mtaenda sawa sasa mwenzio bata kala halafu kamtosa mwamba kipindi cha kiangazi! Huu ndio uhuni aliokuwa anausemea pole pole😂
 
Si unaona sasa!! Mambo madogo kama hayo ndio yanayofanya tukufe na tuoze kabisa kwenu, ila hamtaki. Sasa na pesa pia hamtaki kutoa halafu tukimute mnatulaumu!! Nyie viumbe ni wagumuuuu[emoji2297][emoji2297]
Kama ukiwa genuine in love hata deki ntakusaidia ila ukiwa tapeli mwendo mchubuyu tu!😂😂😂
 
Hapo mtaenda sawa sasa mwenzio bata kala halafu kamtosa mwamba kipindi cha kiangazi! Huu ndio uhuni aliokuwa anausemea pole pole[emoji23]
Ndio maana nilisema hii story ya upande mmoja kutaka kuonewa huruma. Ukute mwanamke mwenzetu huko nae anayo mengi kuliko baharia. We unadhani hadi kufikia kumpeleka polisi mume mchezo!!!
 
Ndio maana nilisema hii story ya upande mmoja kutaka kuonewa huruma. Ukute mwanamke mwenzetu huko nae anayo mengi kuliko baharia. We unadhani hadi kufikia kumpeleka polisi mume mchezo!!!
Mwanamke mpalestina tabia zao zinaeleweka😅
 
Kama ukiwa genuine in love hata deki ntakusaidia ila ukiwa tapeli mwendo mchubuyu tu![emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe akili ushaivuruga kuwa hatuna genuine love unategemea hata ukipendwa utaona? Utaona unaigiziwa tu uliwe pesa zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakizishika huwa wana viburi hatari, wanazitumia hukooo halafu wakiishiwa ndio wanajirudi eti tuwaheshimu!! Malipo ni here here[emoji1787][emoji1787]
Umeona eee kuna mmoja alikuwa akilalamika ana ambiwa si unakula akimwambia na mie nilizaliwa anamwambia kaka zako wapo mie sijaoa ukoo piga picha huyo Baba afurie halafu mke genge lake limewin kibano chake mwanaume lazima aisome namba
 
Back
Top Bottom