Maisha ndio haya haya. Acha babu apate kitu roho inapenda[emoji1787]Hapo watoto washaajiriwa na wana familia zao mzee anaamua kuvuta binti wa umri sawa na last borne wake wa kwenda kumkanda[emoji28]
[emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23]Inakera aisee yani unaeza kula shoka ya utosi ukachati kuzimu na maboya wako hao
Aaah hii ladha ni shubiri. Hela zimeungana na roho[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Mie pia nina mapenzi ya dhati sema we ndio muoga tu njoo uonje ladha[emoji28]
Hahahahah kubembelezwa upo kwenye mood hio sasa? Wanawake wengi wanakuwaga wamenuna tu😅 lazma mparamiwe tu[emoji23][emoji23][emoji23] kuku wako unashindwa kumpa mchele mpaka utafute manati kweli, nami nataka kubembelezwa, unazurura huko usiku mwingi ndiyo unaingia nyumbani haa hamu yote kwisha sasa hapo nilaumiwe mke hapana
Toto litaanza upinzani tangu liko tumboni, sipati picha[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Hahahahahah hamna bana[emoji28] toto lazma litoke na afya nene ya mwili na akili!
Huyo akifulia mke lazma azingueUmeona eee kuna mmoja alikuwa akilalamika ana ambiwa si unakula akimwambia na mie nilizaliwa anamwambia kaka zako wapo mie sijaoa ukoo piga picha huyo Baba afurie halafu mke genge lake limewin kibano chake mwanaume lazima aisome namba
Hahahahahah mtoto akupinge mama yake, haijawahi tokea😅Toto litaanza upinzani tangu liko tumboni, sipati picha[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Hii mbegu haifai hata kwa donation[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mambo gani ya kuteseka na pesa ipo? Ulizitafuta ili ugundue mbadala wa O2 au[emoji2369][emoji2369][emoji2369] tumia pesa bwana zituzoee[emoji1787][emoji1787]Hahahahah kanuni ya kwanza pesa hamna! Endurance utaweza huwa sianzagi na pesa mbele
Hapo ndipo napowachekechaga waganga njaa! Kula utakula vizuri ila mizinga is strictly prohibitedSasa mambo gani ya kuteseka na pesa ipo? Ulizitafuta ili ugundue mbadala wa O2 au[emoji2369][emoji2369][emoji2369] tumia pesa bwana zituzoee[emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haaa haaa usiku mwema wapendwa haa haa haaTrend imekuwa balaa sahizi wadada wa mjini utaskia binti ana miaka 27 wakati mstaafu awamu ya mkapa ana miaka 75
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asee,Njaaa zitawapeleka pabaya sana aisee
Sasa nani hana njaa eti? Elon mwenyewe hadi leo anazitafuta pamoja na kuwa bilionea wa dunia.Njaaa zitawapeleka pabaya sana aisee
Hahahahahah aah wapi😅 ukinipa vizuri naoshaMnasemaga hivyo hivyo tukiwafuma nyumbani utasikia ni leo tu,[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa akili hizi tutaendelea kukwama kama taifa😅😅😅Sasa nani hana njaa eti? Elon mwenyewe hadi leo anazitafuta pamoja na kuwa bilionea wa dunia.
Mtupatie tu hizo pesa bwana, si mmezitafuta kwaajili ya kupata raha na sisi ndio raha yenyewe sasa[emoji12]
Ukinipa vizuri naosha😅Wewe unataka tu tuanze tena ligi hapa wakati kuhusu hili tulishakubaliana vizuri tu! Mbona unakuwa mkaidi hivyo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ni ubakaji na ni kosa kisheria. Tukiwapeleka polisi mseme hatuna huruma wakati mmeyataka wenyewe!! Tatua kwanza huko kununa then mengine yanajipa tu mbona!Hahahahah kubembelezwa upo kwenye mood hio sasa? Wanawake wengi wanakuwaga wamenuna tu[emoji28] lazma mparamiwe tu
Aah siku hizi hadi wanatuua!! Hii dunia inahitaji uumbaji upya walah[emoji2297][emoji2297]Hahahahahah mtoto akupinge mama yake, haijawahi tokea[emoji28]