Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Maisha ndio haya haya. Acha babu apate kitu roho inapenda[emoji1787]Hapo watoto washaajiriwa na wana familia zao mzee anaamua kuvuta binti wa umri sawa na last borne wake wa kwenda kumkanda[emoji28]