Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Hapo watoto washaajiriwa na wana familia zao mzee anaamua kuvuta binti wa umri sawa na last borne wake wa kwenda kumkanda[emoji28]
Maisha ndio haya haya. Acha babu apate kitu roho inapenda[emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kuku wako unashindwa kumpa mchele mpaka utafute manati kweli, nami nataka kubembelezwa, unazurura huko usiku mwingi ndiyo unaingia nyumbani haa hamu yote kwisha sasa hapo nilaumiwe mke hapana
Hahahahah kubembelezwa upo kwenye mood hio sasa? Wanawake wengi wanakuwaga wamenuna tu😅 lazma mparamiwe tu
 
Hahahahahah hamna bana[emoji28] toto lazma litoke na afya nene ya mwili na akili!
Toto litaanza upinzani tangu liko tumboni, sipati picha[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Hii mbegu haifai hata kwa donation[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umeona eee kuna mmoja alikuwa akilalamika ana ambiwa si unakula akimwambia na mie nilizaliwa anamwambia kaka zako wapo mie sijaoa ukoo piga picha huyo Baba afurie halafu mke genge lake limewin kibano chake mwanaume lazima aisome namba
Huyo akifulia mke lazma azingue
 
Hahahahah kanuni ya kwanza pesa hamna! Endurance utaweza huwa sianzagi na pesa mbele
Sasa mambo gani ya kuteseka na pesa ipo? Ulizitafuta ili ugundue mbadala wa O2 au[emoji2369][emoji2369][emoji2369] tumia pesa bwana zituzoee[emoji1787][emoji1787]
 
Sasa mambo gani ya kuteseka na pesa ipo? Ulizitafuta ili ugundue mbadala wa O2 au[emoji2369][emoji2369][emoji2369] tumia pesa bwana zituzoee[emoji1787][emoji1787]
Hapo ndipo napowachekechaga waganga njaa! Kula utakula vizuri ila mizinga is strictly prohibited
 
Sasa nani hana njaa eti? Elon mwenyewe hadi leo anazitafuta pamoja na kuwa bilionea wa dunia.
Mtupatie tu hizo pesa bwana, si mmezitafuta kwaajili ya kupata raha na sisi ndio raha yenyewe sasa[emoji12]
Kwa akili hizi tutaendelea kukwama kama taifa😅😅😅
 
Hahahahah kubembelezwa upo kwenye mood hio sasa? Wanawake wengi wanakuwaga wamenuna tu[emoji28] lazma mparamiwe tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ni ubakaji na ni kosa kisheria. Tukiwapeleka polisi mseme hatuna huruma wakati mmeyataka wenyewe!! Tatua kwanza huko kununa then mengine yanajipa tu mbona!
 
Back
Top Bottom