Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Jamaa mnyonge sana, kuna ndoa zinakufa sababu ya unyonge wa mwanaume, wanawake wa kiafrika wengi wanapenda rude boys
 
Ukiona mwanamke unaishi nae na kulala nae kitanda kimoja anakunyima unyumba jua kuwa kuna mume mwenzio nje anapewa unyumbe..Kitu nilichojifunza ni kuwa mwanamke hawezi kuvumilia kukaa na nyege kwa muda mrefu lazima atakuwa na mtu wa kumkaza.

Ni wito wangu kwako kuanza maisha mapya,ikiwa hujamuoa wewe jiongeze toka nenda katafute maisha ili uje kumfaa mwanao..afterall mmejuana tu ukubwani,mwanao ndio damu yako tu. Mtoto haezi kumkataa baba yake hata kama hataonana nae miaka 10.

MONEY POWER...Toka katafute kipato ili uje kupata heshima huko mbeleni.
 
Jamaa mnyonge sana,kuna ndoa zinakufa sababu ya unyonge wa mwanaume,wanawake wa kiafrika wengi wanapenda rude boys
Wanaume tunakuwa wapole Sana tunaruhusu wanawake watutawale mkuu sikufichi chunguza ndoa nying za kitaa ambazo mwanaume co mnyonge job right za kutosha ya chembe na za mbavu wanawake huwa wanawaganda Sana wanaume wa aina hii kwnn sometime hat wao huwa hawapendi mwanaume mnyonge
 
Mkuu baadhi ya wanawake wanaharibu radha ya ndoa. Kiukweli nikiachana nae huyu siowi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…