Jing chu
JF-Expert Member
- May 9, 2019
- 385
- 592
- Thread starter
- #61
Hapa kila mtu na hamsini zakePole mkuu. Naamini mwanamke anayekupenda kwa dhati hawezi kukufanyia vitimbi. Mungu ametupa akili za kung'amua mambo. Hana mapenzi ya dhati na wewe huyo. Wakati wa uchumba nadhani ukuweza kumjua rangi yake halisi.