Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Duh pole mkuu kwamba kutokuwa na kazi basi ndiyo amebadilika hivyo ghafla sio kwamba alikuwa anatafuta kisingizio mzee ,bora hamjaoana huyo sio mke mzee unafikir ukisepa ndiyo utamkomoa?? Kwa maelezo yako kifupi hakuhitaji unamuita mke halafu unyumba hakupi dah.
 
Turishasema hakuna kutunza siri 2022 kuna mengine bado umeficha hatuna ushauri mpaka useme yote

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hahahahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zombie Mweusi umenichekesha mno, kwamba hakuna kutunza siri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa anatakiwa atapike yote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi ipo yaani. Hizi ndoa hizi basi tu.

Ina maana wakati wa courtship mpaka uchumba hukuona dalili zo zote kuhusu hizi tabia zake mbaya? Au uliziona ukapuuzia ukidhani kuwa ukimtia ndani zitarekebishika? Yaani umepoteza kibarua mwaka jana tu na tayari moto unakuwakia? Hata ubinadamu japo kidogo hamna? Vipi ukiumwa uwe wa kugeuza kitandani?

Sorry but sidhani kama una mke hapo aisee; na ukiamua kubaki naye huko mbele ya safari jiandae kwa magumu zaidi ya haya - usiishiwe pesa wala kuugua. Na uzeeni ujipange hasa!

Pole sana!
Ushauri bora.
 
Nipe way to mkuu.
Mshitaki dawati la polisi eleza shida zote usione aibu kuelezea pia kuwa huna kipato na mke wako hachangii chochote ambapo anakuongezea mzigo wewe usie na kipato cha uhakika. Ukishindwa dawati la polisi nenda halmashauri ofisi za ustawi huyo mkeo ataambiwa hasara za mtoto kutolelewa na wazazi wawili na hasara za kutopata upendo wa wazazi
 
Sasa kama hata hiyo biashara yake ambayo anaifanya haimtoshi kulipia pango anaanzaje kuota mapembe kiasi hicho?

Lakini hapo nakushauri huruma yako ielekeze kwa mtoto, fanya maamuzi ambayo yatakuwa na faida kwa mtoto, huyo mwanamke hakufai
Ushauri wa kibingwa sana huu, asipokuelewa hataelewa tena.
 
Mshitaki dawati la polisi eleza shida zote usione aibu kuelezea pia kuwa huna kipato na mke wako hachangii chochote ambapo anakuongezea mzigo wewe usie na kipato cha uhakika. Ukishindwa dawati la polisi nenda halmashauri ofisi za ustawi huyo mkeo ataambiwa hasara za mtoto kutolelewa na wazazi wawili na hasara za kutopata upendo wa wazazi
Oky nimekusoma
 
Offcoz kuna kuona tabia na kuvumiliana lakini haya makucha ndo nayaona sasa sikuwahi kuhisi kama atakuwa hivi siku moja.
Na kama kaanza kuonyesha makucha na hali hujamuona, chief hapa unatakiwa kujiongeza kama vile vitabu visemavyo kuwa "Ishini nao kwa akili", hapa walikuwa wanaambiwa wasio na akili kwamba wasioe.
 
Dahh sawa nimekusoma lakini ujue hadi sasa ana RB kwamba nilienda kumfanyia fujo ofisini kwake wakati nilienda kuchukua pesa zangu nilizompa week kabla. Sasa kuepuka kesi za hivyo si boda nimsikilizie tu.
Hapo kwenye kuchukuliwa RB ndipo hatua mbaya sana aliyokufanyia ambayo adhabu yake ni kuachana nae tu.

Kwa jinsi jela kulivyo halafu mtu mliyezaa nae ndio anataka kukupeleka hapo mapenxi hamna hakupendi huyo dada achana nae utapata mtu mzuri
 
Kujitesa kote huko ili iweje? Kuwa king'ang'anizi utaishia kupewa sumu/ kuuwawa.

Jamaa ajikatae atafute mahali pengine pa kuishi, apambane na biashara zake na kutafuta kazi nyingine ila ahakikishe anatuma pesa kwa matunzo ya mtoto.
Kabisa mkuu, yani watu wanamshauri jamaa akomae kisa kuogopa mkewe kuliwa na hizo njemba. Si ajabu kwa hizo tabia tayari kuna njemba zinamla.

Ni bora nusu shari kuliko shari kamili, asepe kuepuka kifo cha mapema na cha kujitakia kwa kukaza fuvu.
 
Wakuu kiufupi nina mke na mtoto mmoja wa miezi 9 sasa. Tumekuwa tunaishi kwa kutegemeana kama mke na mme kwenye mambo mbalimbali. Nilibahatika vibaya kupoteza kazi baada ya kuwa mkataba wangu umeisha mwishoni kwa mwaka jana.

Tangu hapo mke wangu anaonyesha dharau waziwazi. Kiufupi ni dharau ambazo kiukweli chanzo chake ni kupungukiwa kipato japo nafanya bidii za
Maisha ya ndoa jamani Yana tabu sana ......tafuta chumba ondoka mkeo awez kosa pa kwenda atarudi hata kwao akafundishwe jinsi ya kua na adabu
 
Hapo kwenye kuchukuliwa RB ndipo hatua mbaya sana aliyokufanyia ambayo adhabu yake ni kuachana nae tu.

Kwa jinsi jela kulivyo halafu mtu mliyezaa nae ndio anataka kukupeleka hapo mapenxi hamna hakupendi huyo dada achana nae utapata mtu mzuri
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom