Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

USIMUONEE HURUMA MWANAMKE.... Mwanamke mchukulie kama kijakazi tu kwako and YOU ARE THE KING!!

Mfalme akikosea hamuombi msamaha kijakazi.

Kijakazi akizingua anapewa onyo, akirudia makosa yake anatafutiwa mbadala wake instantly.

Hayo ndio maisha ya Alpha Males
Yes Sir!
 
Pole mkuu...japo nauona utoto kwako...unajiita handsome..hata kama.

Ushauri wangu ni mdogo tu.
1. Lipa kodi ndipo uondoke, ukiwatoroka hutofanikiwa kamwe uendapo.
2. Usiondoke kwa kashfa na kejeli.
Mwite mkeo na mwanao na uwaambie;
-mke wangu ninakupenda sana sana japo
ninasikitika kuwa hali yangu ngumu imeondoa furaha yetu.
-kwa hali hii inanibidi nikajaribu maisha kwingine, naomba umlee mtoto kwa upendo wote, nikifanikiwa huko nitawakumbuka mke wangu.

Mkuu hata kama umekusudia kumwacha kwa siri lakini kwa maneno haya atakuwa anakutakia heri na ufanikiwe skijua ukifanikiwa amefanikiwa...usiondoke mke akilia hutofanikiwa uendako.
Usitumie maneno makali kwa mwanamke...bora unyamaze.
Hawa viumbe wakilia wananyonya baraka zetu
Duuuh
 
Aliekwambia Nani mkuu kua mwanamke akilia anakupunguzia baraka???

Hamna kitu Kama hcho Mwanamke mpumbavu mwache na upambavu wake ..!
 
Aisee nawashukuru sana kwa ushauri wenu linalonigusa sana ni hili la kutofautiana kidogo tu mtu anaenda kushtaki. Wakuu ninewaelewa huyu siwezi ishi nae kama ni uvumilivu umenishinda naweza kuja kuuwa mtu bure.
 
Mkuu relax,,,, ndio kwanza mwezi mmoja tu tangu ufulie...

Huyo mwanamke kuna namna amekuchoka ndio maana vitu kama police anaona ni kawaida kwake.. But kama unaondoka unataka nani alishe mwanao.!??? Kama ni mke atalisha kwa pesa zipi na unasema biashara yake tia maji tia maji..???

Kaa nae kiume mweleze hutaki dharau + mpe msimamo wako... Akizingua mtimue coz hujamuoa bado...

Muhimu: kamwe usije KUOA huyo mwanamke.... Endeleeni tu hvohvo ila usije ukaoa...
 
Kazi ipo halafu si mke ni mchumba japo mnaishi pamoja sasa mdogo wangu ukifunga naye ndoa si ndiyo kitanzi hicho, kama kazi yako umepotezà mwishoni mwa mwaka jana leo hii January utumbo ndiyo huo? Tuliza kichwa chako vizuri utakuwa umeingia sipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahh sawa nimekusoma lakini ujue hadi sasa ana RB kwamba nilienda kumfanyia fujo ofisini kwake wakati nilienda kuchukua pesa zangu nilizompa week kabla. Sasa kuepuka kesi za hivyo si boda nimsikilizie tu.
Sasa kama anapata vipesa si umwache, ngoja siku moja utachomwa moto, mke anampeleka vipi Mme police!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiondoka tu kuna njemba itamfadhili na kula mzigo,usiondoke ila kuwa mkatili piga màkofi ya maana mpaka masikio yazibe,akikunyima penzi piga chukua mkanda wa suruali chapa sukumia nje funga mlango alale nje,usilete ulokole kwenye mapenzi,nasema usiondoke bali kuwa mkatili hadi akikuona moyo unaenda mbio kwa woga,tembeza kichapo,
Huu sio ushauri mzuri
 
Chukua vitu vyako ondoka kimya kimya. ...
Tena ukifika huko mpigie mwenye nyumba amtimue ..!

Si haoni umuhim wako piga chini ..! Huwezi kua na stress za hela afu ukifika ndani unakutana na stress za Mwanamke utakufa chap chap Yani mbio mbio tunazika.

Linda Sana Moyo wako binadam mwezako asikunyime Amani hata siku moja Pambania maisha yako huyo mtoto ikifika mda muafaka mchukue.
 
Ahsante chief
 
Ukiondoka tu kuna njemba itamfadhili na kula mzigo,usiondoke ila kuwa mkatili piga màkofi ya maana mpaka masikio yazibe,akikunyima penzi piga chukua mkanda wa suruali chapa sukumia nje funga mlango alale nje,usilete ulokole kwenye mapenzi,nasema usiondoke bali kuwa mkatili hadi akikuona moyo unaenda mbio kwa woga,tembeza kichapo,
Ushauri wako una roho ya kijerumani mzee .

Mwamba akazane tuu alipe Kodi na atoe mahitaji kwa ajili ya mtoto..Huyo mwanamke hampendi huyo mshikaji.

And Life limechange, kuna penzi la kulazimisha, ni busara sana kuondoka bila kumpiga na akapata mtu mwingine anayejali hustle zake..

Penzi halilazimishi hata siku moja.!
 
Dah! Umenikumbusha mwaka jana ndugu yangu aliugua korona! Tulivyofika hospitali kumuona mke wake bila hata hofu aliropoka “ yaani nimemuomba mungu amchukue kuliko anavyoteseka”
Tulistaajabu
Makubwa haya anayeteseka nani sasa hapo! Hata kama tunagombana lakini kuombeana kifo hapana !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Umenikumbusha mwaka jana ndugu yangu aliugua korona! Tulivyofika hospitali kumuona mke wake bila hata hofu aliropoka “ yaani nimemuomba mungu amchukue kuliko anavyoteseka”
Tulistaajabu
Duh hawa viumbe ni kukaa nao kwa akili sio kwa hisia
 
Tafuta chumba hata kimoja mwambie umepata chumba kimoja tuhamie huko! Akigoma chukua vinavyo kuhusu hamia huko! Anza upya akija sawa na akiendeleza mambo yake hapo mwache ondoka kaanze upya, wanawake wazuri wapo tatizo kuwapata, wapo wanaovumilia utopolo wa waume zao lakini ndiyo hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom