kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Mkuu husiondoke, hivyo vipesa kidogo unavyopata pambana katafute chumba kimoja lipia, mweleze kwakuwa kwa wakati huu fedha sina na hapa kodi imekwisha nimepata chumba kimoja tutahamia huko.
Akikataa wewe tangulia, ongea na mwenye nyumba mweleze mnahama,ita gari pakia mizigo atakufuata.
Akihamia tambua moto utazidi kuwa mkali,wewe husimjali,amka asubuhi nenda shughulini,hakikksha unanua chakula na mahitaji ya mtoto.
Mambo yatakaa sawa, ila kazi unayo,kama kazi ulipoteza mwaka jana tu mwishoni (juzi tu hapa) ameshafikia hapo!!. Mambo yakichelewa kukaa sawa utakinywea kikombe.
[mention]Hendisamu [/mention] kaka kama vipi pita na hi!